Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Huyu tangu atokwe na unga mwilini baada ya watu wa toxicology kufanya yao... Amekuwa wa hovyo sn
.
 
madokta (PhD holders) wengi bongo (si wote) wamejaa majivuno ila kiuhalisia hawana hata ubunifu wowote na mbaya zaidi ni weupe kuanzia kichwani mpaka kiuchumi....
 
Nikweli kimaslai hakuna faida yake binafsi kiuchumi tofauti na wenzie wa wbc, kuna wa sanii wengi tu walikuwa kama yeye sasaiv wamepotea mfano wa gosi wakaya
 
Kwani Mugabe alikuwa na degree ngapi?. Kumbe mtu anaweza kuwa na madegree mengi na bado akawa KUPE!.

Bora hata Mugabe unaweza ukasema alijaliwa walau na akili kidogo! Hawa wa kwetu walio wengi, hupenda tu kujisifia kwa kujiita majina ya Dr nani, sijui prof nani! Mbwembwe nyingii! lakini ukija kwenye kigezo cha akili, hamna kitu.
 
Wabongo mmejaa wivu kwa PhD holders!!
Binafsi sitamani tena kusoma PHD kama PHD zenyewe hizi za akina Lipumba, Bana, Kitila, Magembe, Bashiru, Mwakyembe, Mkandara kutaja kwa uchacheza. Eti upara unasababishwa na kubeba vyombo kilometer 60!!
 
FALSAAFA YANGU; "KADIRI MTU AENDELEAVYO KUSOMA NA KUELIMIKA NDIO HUJIONGEZEA UJINGA, WASIWASI NA MAHANGAIKO!"
 
Roma ana Degree?
 
alivyoimbwa "Mwakyembe baba lao" alikuwa na degree ngapi??mbona apo kasifiwa na form four na yeye kafundisha vyuo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…