Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Degree nne sio mchezo tuache utani,sio kila moja anaweza kusoma hivyo
Mwacheni mwakyembe ajidai
Usikute na wewe una elimu nzuri tu! Na vyeti kabisa! Ukija kwenye upande mwingine wa akili sasa, hapo ndipo shughuli inapoanzia.