Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Kuna kuja kusoma na ukafaulu,ila kuna utambuzi.Mfano:Wewe hapo yawezekana kabisa unajiju na kujifahamu vema kabisa na hilo halina ubishi ila ukawa hujitambui,yaani wewe unajifahamu/jijua lakini kwakweli kupitia comment yako hapo juu napata uwezo wa kusema HUJITAMBUI.
 
Degree 4 za kwenye certificate na thesis za kawaida sio za uvumbuzi hizo. Swala la kufundisha vyuo ni ku transform tu vilivyo andikwa na wengine una act as a media tu. Waliogundua hivyo vitu wasemaje sasa?
Thesis yenyewe si'ndio ile aliikana.....ila status ya u'Dr/PhD hataki iachia!!!!!pumbafff za haraka'haraka!!!!
 
Wa'jaani wana mengi ya kupoteza!!!!Ref:"mea culpa mea culpa mea maximus culpa.....nina mke+watoto+wajomba+mashangazi+wakwe+wazazi+walezi+wazee....wananitegemea"
Hivi Mwakyembe ana nini chakupoteza akiachana na Uwaziri.
 
Harmonize alipoimba wimbo wa kusifia chama cha "Magenius" na mtukufu wake sisi tusio upande wake tulivumilia. Beka flavour, Nandy, Diamond, na wengine kibao wameamua kuimba nyimbo za kusifia chama na mtukufu lakini hawakuambiwa wanaimba siasa wala hawakuambiwa wakaanzishe vyama vya siasa.

Na sisi tusio upande wao tuliendelea kuwavumilia tu. Sasa tatizo kajitokeza mmoja tuu akajitofautisha nao akatuimbia sisi tulio upande huu...kwanini nanyi mnashindwa kutuvumilia dawa iwaingie vizuri?
 
Waziri kama kweli yeye ni mwalimu wa sheria atuambie ni sheria ipi ya nchi inakataza mwanamziki hasiimbe nyimbo zinazousu siasa au ligha raisi zinazousu mambo yanayotokea jamii atuambie ni sheria ipi inakataza hasitutishe na shahada nne tunashuhudia watu wenye shahada kama hizo wengi wakishindwa vibaya mahakamani
 
Sasa nina mashaka na Digrii za Mwakyembe:
1) Ni kigeugeu. aliwahi kulishwa sumu na nywele zikapeperuka. sijui anavaa wigi? lakini baada ya kuvutishwa bangi ya CCM, sasa kashika adabu anaimba mapambio na kujitoa ufahamu
2) Alikiuka maandishi yake mwenyewe kwenye utafiti wake aliouchapisha, akatoa msimamo tofauti bungeni. Tundu Lissu akamshika shati. Msomi gani huyo asiyeamini alichoandika mwenyewe, tena baada ya kufanya utafiti?

Lakini pia, kuwa na digrii haina maana unatumia common sense. Kama Mwakyembe ana digrii 4, basi Roma Mkatoliki anazo 10!!
 
Mwaki'bolibo ndio aina ile ya wanajamii wale wa "unanijua mimi nani".Wana infiriorty complex mbaya sana. Mwaki'bolibo ndio aina ile ya wanajamii wale wa "unanijua mimi nani".Wana infiriorty complex mbaya sana.
 
Waimbe zá kusifu tu kama walivyofanya Hármonize, Nandy na Beka flavour.
Roma katibua vumbi.....hao pamoja na Diamond rate ya kujadiliwa mitandaoni imepungua mno,nobody gives isht about them......trending ni Roma.
 
Kamsaidia kupromote wimbo
 
Hata Dr. Shika ana PhD lakini amekuwa karubandika analala stendi ya basi.
 
Melo weka kitufe cha dislike ili comment kama hz zipate nyingi
 
Binafsi sitamani tena kusoma PHD kama PHD zenyewe hizi za akina Lipumba, Bana, Kitila, Magembe, Bashiru, Mwakyembe, Mkandara kutaja kwa uchacheza. Eti upara unasababishwa na kubeba vyombo kilometer 60!!
Huna akili hiyo
 
PhD holder reasoning just like class 2 dropout, that statement he made sounds arrogantly, having all those degrees without blessings and wisdom from God,your knowledge or understanding will be nothing but just like clean water wasting in the dry sand,muheshimiwa tame your tongue and style up as honorable,
 
Kumbe ukiwa na digrii nne unakuwa na ubavu wa kupiga watu marufuku kufunga ndoa mpaka wawe na vyeti vya kuzaliwa!
Ni dhahiri huyu Mwakyembe kama angekuwa raisi basi kufunga ndoa na cheti cha kuzaliwa kungetuhusu maajabu haya.
 
Afterall Roma siyo std7 kama alivyojinasibu mkuu
 
Hapo kwenye kuingiliana ndo nimepapenda zaidi,lazima ujifunze tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…