Kung fu panda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 748
- 785
kwenye kibwagizo ilitakiwa iwe "Mwakyembe baba lao"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kuja kusoma na ukafaulu,ila kuna utambuzi.Mfano:Wewe hapo yawezekana kabisa unajiju na kujifahamu vema kabisa na hilo halina ubishi ila ukawa hujitambui,yaani wewe unajifahamu/jijua lakini kwakweli kupitia comment yako hapo juu napata uwezo wa kusema HUJITAMBUI.Roma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Thesis yenyewe si'ndio ile aliikana.....ila status ya u'Dr/PhD hataki iachia!!!!!pumbafff za haraka'haraka!!!!Degree 4 za kwenye certificate na thesis za kawaida sio za uvumbuzi hizo. Swala la kufundisha vyuo ni ku transform tu vilivyo andikwa na wengine una act as a media tu. Waliogundua hivyo vitu wasemaje sasa?
Hivi Mwakyembe ana nini chakupoteza akiachana na Uwaziri.
Harmonize alipoimba wimbo wa kusifia chama cha "Magenius" na mtukufu wake sisi tusio upande wake tulivumilia. Beka flavour, Nandy, Diamond, na wengine kibao wameamua kuimba nyimbo za kusifia chama na mtukufu lakini hawakuambiwa wanaimba siasa wala hawakuambiwa wakaanzishe vyama vya siasa."Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"
Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Sasa nina mashaka na Digrii za Mwakyembe:"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"
Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Mwaki'bolibo ndio aina ile ya wanajamii wale wa "unanijua mimi nani".Wana infiriorty complex mbaya sana.Kaisadia nini Dunia wewe... Kusoma kasoma yeye ili apate kula na kuishi yeye na familia yake.. Bakhersa hajasoma kumbuka lakini anamuona mwenye Degree ni Fala tu...
Inamaana Mwakyembe siku akikutana na Yesu atamuambia wewe Yesu hujasoma utanishauri nini? IQ aliyotumia Waziri ni Ujinga... aache kujimwambafai...
Roma katibua vumbi.....hao pamoja na Diamond rate ya kujadiliwa mitandaoni imepungua mno,nobody gives isht about them......trending ni Roma.Waimbe zá kusifu tu kama walivyofanya Hármonize, Nandy na Beka flavour.
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"
Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Roma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Roma hajasoma. Jiwe limempata sawiaKasomeni na nyie acheni majungu kwani Roma kasoma wapi?
State agent
Huna akili hiyoBinafsi sitamani tena kusoma PHD kama PHD zenyewe hizi za akina Lipumba, Bana, Kitila, Magembe, Bashiru, Mwakyembe, Mkandara kutaja kwa uchacheza. Eti upara unasababishwa na kubeba vyombo kilometer 60!!
Ni dhahiri huyu Mwakyembe kama angekuwa raisi basi kufunga ndoa na cheti cha kuzaliwa kungetuhusu maajabu haya.Kumbe ukiwa na digrii nne unakuwa na ubavu wa kupiga watu marufuku kufunga ndoa mpaka wawe na vyeti vya kuzaliwa!
Degree nne tena? Hawa watu jamii ya Mwakyembe mbona miguu na njia kwa waganga wa kienyeji often kupata "ushauri wa kitaalamu" ingawa hao hata std 3B hawakuliona?
Kitendo cha Waziri kushuka chini na kuanza kujibizana na "standard 4/7" ni ishara tosha hizo degree 4 zilikuwa za kudesa na kukariri tu na wala hazijamsaidia kitu. Otherwise ile sumu ilimuharibu pakubwa
Msomi never stop learning. Huo ndio ukweli. Sio kwa vile una Madegree ishirini ndio unasema sihitaji kujifunza tena, hapana. Tunajifunza kila siku kupitia kuingiliana na watu wengine. Na tunajifunza kutoka kwa watu mbalimbali wanaotuzunguka. You don't expect every one kuwa educated or clever as you are..?!...kwa hio alitaka kusikia ushauri wa nani wa mtu mwenye degree tano? mnhh
Kwa hiyo Magufuli na ka PhD kake ka kemistre hawezi kumkosoa Mwakyembe mwenye degree nne?