Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akiwa na digrii miamoja kama Elimu Yake haisaidii watu au elimu Yake anatumia kujenga Taifa. Lisilo na upendo. Ni afadhali ya mtu asiyesoma hata darasa la kwanza.Elimu zetu zisaidie kujenga umoja wa kitaifa na mambo ya kihuni ktk Taifa."Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Humjui Roma weweUkweli unabaki staili aliyochagua roma, muda wake ukiisha hana wa kumkumbuka.
SerikaliIla sijaskia alipomtaja kwenye hiyo nyimbo
Asante "MWAKYEMBE" kwa kuupa "PROMO MWIMBO WA TAIFA (Anaitwa Roma).Kufaulu sio akili
Maisha yangu ya kuanzia o level mpaka chuo kikuu nilikuwa sisomi,muda wa prepo nipo nje ya shule nakula bata,chuo kikuu ndio usiseme ila nimewapita watu wengi tu,
Kwa hiyo Magufuli na ka PhD kake ka kemistre hawezi kumkosoa Mwakyembe mwenye degree nne?"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Bila shaka, msaniiYanamlipa msanii au waziri??