DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Nimekusamehe!
Ww ni Mata******[emoji855]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ni Mata******[emoji855]
Rudi shule.Wenzako walipokuwa wakomaa kusoma wewe ulikuwa unashida club eti saizi tukuonee huruma.Nakuambia tena Ukiona mwenye PHD amejeruhiwa sehemu ujue wewe mwenye kadigirii kamoja ungekufa na kusagika.Baada ya Waziri fulani kujitumumua na kujimwambafai mbele ya waandishi wa habari kuwa msanii fulani hawezi kumkosoa kwa kuwa yeye ana degree 4, hizo insults nahisi zina-hold for all na tumedharauliwa wote wenye tuelimu tudogo kwamba eti tulioishia darasa la 7 kamwe hatuwezi kuwaonya na kuwakosoa wenye degree 4.
Wale wote tulioishia la saba tuungane tuone ni jinsi gani tunaweza ku-rise nguvu ya kuweza kuwakosoa wale waliopotoka kwa kuwa wana madrigrii mengi mengi zinazokaribia zile za thermometer.
Ila sijaskia alipomtaja kwenye huo wimbo
Kapaniki ngoma imewagusa waliokuwa madarakani....Jaman wenzangu mmesikia kwenye wimbo sehemu limetajwa jina la Mwakyembe[emoji23][emoji23]au ndiyo kujishuku?
Kayasema hayo.... unahitaji clip?Kama kweli kayasema hayo, basi hayo ndio tunaita matumizi mabaya ya akili.
Hua najiuliza kama hii ndo aina ya viongozi tunaowaamini kufanya maamuzi ya nchi. Je, nchi yetu iko salama kweli?
Natamani huu uzi uwe ni propaganda na isiwe kayasema hayo kweli .
Waziri anayumba sana, wakiiimba mambo ya Sodoma na Gomora hawataki, wakiimba mambo yenye akili hawataki au wanataka nyimbo za cheichei"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"
Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Shahada ya Ntu inakkufa akiingiaa katika siasaRoma akili kubwa yule, Sasa Waziri anaposema hawezi kuonywa ndio anazidi kudhihirisha kwamba uelewa wake bado mdogo na hizo Shahada hazijamsaidia kitu
Ndio maana Jiwe linawashika akili
Hahahahaa naikumbuka hii kitu pale Ifakara kuna jamaa alileta ujinga wake watu wakamzabika mtoni kumbe hata kupiga mbizi hajui.Digree nne! Anajua kutengeneza Simu? anajua IC inavyotengenezwa? Hawa ndiyo wale wanaotoswa kwenye maji na Waendesha Ngalawa wanapovuka mito.
Mimi msomi...
Ogelea basi..
Hii ndio comeent konki zaidi ya zote.Degree 4 za kwenye certificate na thesis za kawaida sio za uvumbuzi hizo. Swala la kufundisha vyuo ni ku transform tu vilivyo andikwa na wengine una act as a media tu. Waliogundua hivyo vitu wasemaje sasa?