Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Kosa hasa la Roma ni nini???
 

cc Mwigulu Nchemba.
Tega sikio usikie kinachoendelea ndani ya nchi unayo jiita wewe ni Waziri wa usalama wa ndani. Kisha jipime kama unatosha au mchukulie hatua huyo anayetajwa sana (ambaye sio siri tena na kaonyesha kuwa haogopi kitu) kila mahala kuwa anahusika.
Kuna faida gani kuwa waziri wa mambo ya ndani wa mshahara tuu huku usalama wetu ukikushinda kutekeleza? Au unadhani kazi yako ni kujibu maswali na kusoma Budget bungeni tuu?
 
Mtoa huu uzi ameandika kama alikuwepo kwenye tukio nadhan ni wakati wa Max kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili watu kama hawa wasaidie kwenye uchunguzi
 
 
 
Mkuu kile kilikuwa kichwa hilo hata CHADEMA wanakubali ingawa sio hadharani alikuwa anauwezo wa kupata data na akaitwa mzee wa data.
 
We utafurahi sawa ila je wazazi wako au wanao watafurahi pia
 

Oooh poor me[emoji32][emoji32]

Wakt kuna watu wanaumizwa na hali inayoendlea , watu wanapondeka miyoyo. Kuna mtu bado machoni pake anaona hali iko sawa kabsaa na ni raha kwake!
Kweli bnadamu tumeumbwa tfaut ila chungza wayalalamikayo nduguzo na ujiulize n kwann.
Hakuna asyepends mema yamjie sasa kwann hali unayoiona ww kua njema machoni pako ndg yko inamuumiza!


WAZA KISHA UWAZUE
WAZA NA KUWAZUA[emoji32]
 
Mkuu Roma nampenda sana lakini safari hii nimemuonea sana huruma hadi nilikuwa natoa machozi kumlilia, walotekwa wote wanaonekana kuathirika kisaikolojia na Roma jana jumamosi aliimbia jamii ya watanzania kuwa wote wapo heri kabisa kimwili na kiakili lakini Roma hakujua hata ongea yake tu inonesha hayupo sawa maskini.
Amejeruhiwa mguuni na mikononi lakini yeye anasema yuko vizuri! So hata hiyo kesho hatoweza kuthubutu kuzungumza ukweli wewe jiandae tu utuletee hizo data zako jumanne.
Halafu inaonekana wameambiwa wameapizwa na wale watesi kuwa wasiseme balaa lililowakuta.
 
Ha ha haa ! Umetisha big
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…