Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Mbona kama umekulupuka kutoka usingizini
 
Na kaminywa sana na Bashite,ole wake aite press conference au azungumzir ukweli wa mambo.
 
aisee hili balaa...mkuu DAB ndo strelingi wa hili picha ...

hapo roma kapigwa biti asiseme kitu


SHAME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…