Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Tushilikiane kuwaombea washkaji zetu wa nguvu Roma Bello moni naaamini watapatkana wakiwa Salama so sad Tanzania kuwa na issue kama za mbele hv
9fba3412bf2908cdc411d965cde3c4ef.jpg
washapatikana man
 
Na kaminywa sana na Bashite,ole wake aite press conference au azungumzir ukweli wa mambo.
 
aisee hili balaa...mkuu DAB ndo strelingi wa hili picha ...

hapo roma kapigwa biti asiseme kitu

SHAME
 
Back
Top Bottom