SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,795
- 1,304
Nchi yangu eeeee!!!! viva RomaTanzaniaaaaaaa eeeeee ......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi yangu eeeee!!!! viva RomaTanzaniaaaaaaa eeeeee ......
Saa nane kazi ya mkuluAshukuriwe mkuu
Vipi saa nane?
washapatikana manTushilikiane kuwaombea washkaji zetu wa nguvu Roma Bello moni naaamini watapatkana wakiwa Salama so sad Tanzania kuwa na issue kama za mbele hv![]()
Yes....hakuna kurudi nyuma...Duuuuuu safi sana watuletee kamanda wetuu halafu tuna turn back kwenye vyeti fake vya bashite au vp
wametamka jeshi la polisi hawatambui wala.hawa kuhusika.sasa huko ostabey kafata nini
Makonda oyeeeMakonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
ngoja tusikie watekwaji watasema niniDah.... Alosto hizo.... wakipona wataacha[emoji13] [emoji13]
Mkuu unajua hapa naliaNchi yangu eeeee!!!! viva Roma
Ndio maanakeDuh, Kwahiyo Bashite ameshamuachia, Maana aliahidi atapatikana kabla ya kesho