Roman Catholic, KKKT na makanisa mengine makubwa, Vijana wanaosali kanisani kwenu ni ngumu sana kupata Wachumba kanisani, igeni mfumo wa Wasabato SDA

Mke hatafutwi jiongezee thamani kama mwanaume watakusumbua sana utawambato mpaka utachoka. Hili ina apply kwa wanawake wote duniani.

Sijasema natafuta mke kanisani bali Nimetoa ushauri mzuri kwa makanisa makubwa ya kijumapili waige kutoka sda namna ya kufanya interaction ya vijana wa kike na kiume lwepo makanisani kwanza catalyst italeta ladha ya vijana kuhudhuria ibada na matokeo yatakuwa ni kuoana miongoni mwao.
 
Mimi natoa ushauri kwa vijana wa kiume kuwa mke hatafutwi. Anayetakiwa kutafuta mtu ni mwanamke sio mwanaume. Vijana wa kiume msipoteze muda kuwatafuta wake. Ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wavulana wanakimbilia ndoa. Maisha kijana wa kiume unatakiwa ujijenge, ujipambanie na usimamie malengo yako. Ukishafanya hayo watakusumbua kama nzi halafu wewe ndio utachagua mke kati ya hao watakao kusumbua.
 
Ukiwa maskini hata usali kila siku makanisa yote hupati mke au utaoa atakukimbia, hata uende misa zote Jpili hata wasichana hawakutaki ng’oo

Tafuta hela alafu ndio utafute mchumba wa kuoa, kijana weka uchumi wako vizuri ndoa inakuja haraka tu.
Agiza supu ya utumbo nitalipa! Umewatolea uvivu vijana na wanaume mapumbabu! Hata ukeshe kanisani na mikutano ya injili! Bila hela hupati mke! Hata ukimpata atakukimbia! 💯
 
Nishauzulia kwenye kanisa la sabato ila nahisi itakuwa kweli, mana Huwa Wana ibada ndefu sana
 
Ukiwa maskini hata usali kila siku makanisa yote hupati mke au utaoa atakukimbia, hata uende misa zote Jpili hata wasichana hawakutaki ng’oo

Tafuta hela alafu ndio utafute mchumba wa kuoa, kijana weka uchumi wako vizuri ndoa inakuja haraka tu.
Facts bro
 
Unataka sema wasabato si watafutaji?
 
Wakati unawaza hayo uelewe huko Kuna wanawake na wanaume. Mke mwema atoka kwa bwana sio Mwanamke mwema. Kama mtu Hana hofu ya Mungu Ni Mwanamke tu au mwanaume tu mtasalitiana kujificha ficha. Kaa katika njia yake Yesu nawe Yesu atakupa aliye katika njia yake. The rest kutombeana
 
Katika zama hizi hakuna sehemu mbaya ya kutafuta mwenza kama kanisani.

WALIO KATA TAMAA WANAKIMBILIA HUKO,
WALIO FANYA UOVU MWINGI WANAKIMBILIA HUKO HUKO,

NAAM NI HUKO HUKO KUNA WATAKATIFU WA BANDIA,
WATU WANAKUWA WEMA, WAKARIMU,WAPOLE, NA SIFA NYINGI ZA BANDIA WAKIWA KANISANI TU.
NA MTAANI NI KINYUME CHAKE

NDIO ILE KABLA YA NDOA, MNAONGEA VIZURI, ANAHESHIMA, UNYENEYEKEVU, UPENDO KWA NDUGUZO.
BAADA YA NDOA, NI MWENDO WA UBABE, DHARAU, JEURI, KIBURI, HAKUNA UTII, CHUKI KWA NDUGU NA WAZAZI
 
Ulichokizungumza kina ukweli ndani yake, wasabato wanamafundisho yao haswa kwenye ndoa wanasema usifungiwe nira na asiye amini, ndio mana wanawakutanisha watu wao kwa wao ili wajuane na kuoana, i was there changamoto kubwa wasichana wengi ndani ya kanisa hawafikirii nje ya box, hawana uzoefu elekez wa maisha halis, wengi wa mabinti wanatokea kabila fulan hasa wapare wakurya yenye idad kubwa ya wasabato tz, mbaya zaidi wanawake wengi zaidi hawajanyooka maana wengi wameharibiwa ndan yakanisa, wamekutana tangu wadogo kwenye program zao hvyo imekuwa rahis kujamiana tangu wakiwa wadogo. Binafsi mke anapatikana popote inategemea na malez yake huko nyuma.
 
Hata Yale makambi yanawasaidia Wasabato
 
Kama ni Hivyo Kwa Nini Sasa hivi vijana wengi wa kisabato wanaoa wakatoliki na walutheri na ndoa zinafungwa Lutheran na Katoliki?
 
Shida wasabato ni ibada ndefu yani siku nzima wanasali tu,kingine mabinti wao wameaminishwa nje ya usabato hakuna ndoa ni upotovu. Hapo unakuta binti umri umeenda hana ndoa vijana wa kisabato wanaenda kuoa nje,bint anachoka anajikuta kazalishwa bila ndoa.

Ushauri wasabato na wakristo kwa ujumla acheni tamaduni za wazungu ruhusuni ndoa ya mke zaidi ya mmoja ndio utamaduni wa kiafrika,hata mitume wa kiisrael walioa wake wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…