jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Siku akiolewa atabakia hapo hapo ?Hii changamoto anayo mama mkubwa wangu...
Mama mkubwa amegoma kabisa kuondoka nyumbani kwa bibi.
Watoto wa kike hawapewi ardhi kwa tamaduni cha warombo...lakini yeye amegoma kabisa... Anakuambia huo mji ni kwa wazazi wake hawezi kuondoka kwa wazazi wake.
Na ndugu yake yoyote akikaa hapo nyumbani hata wiki tu atamfanyia visa mpaka aondoke... Na ni mgomvi balaa...
Anagombana na kila mtu yaani.