Siku akiolewa atabakia hapo hapo ?Hii changamoto anayo mama mkubwa wangu...
Mama mkubwa amegoma kabisa kuondoka nyumbani kwa bibi.
Watoto wa kike hawapewi ardhi kwa tamaduni cha warombo...lakini yeye amegoma kabisa... Anakuambia huo mji ni kwa wazazi wake hawezi kuondoka kwa wazazi wake.
Na ndugu yake yoyote akikaa hapo nyumbani hata wiki tu atamfanyia visa mpaka aondoke... Na ni mgomvi balaa...
Anagombana na kila mtu yaani.
Ana umri gani?Hii changamoto anayo mama mkubwa wangu...
Mama mkubwa amegoma kabisa kuondoka nyumbani kwa bibi.
Watoto wa kike hawapewi ardhi kwa tamaduni cha warombo...lakini yeye amegoma kabisa... Anakuambia huo mji ni kwa wazazi wake hawezi kuondoka kwa wazazi wake.
Na ndugu yake yoyote akikaa hapo nyumbani hata wiki tu atamfanyia visa mpaka aondoke... Na ni mgomvi balaa...
Anagombana na kila mtu yaani.
Halafu kajazia kama wale mabaunsa wa Dstv.Hana bwana wala mtoto yaani
oa WeweNilitaka kuoa huko aisee nimekimbia
Mjinga mwenyewe! We mwenyewe umepata hilo wazo kwa sababu unajua kabila lako ndilo lenye ushenzi huo wa kutukuza pesa mpaka mnawatoa uhai wazazi wenu. Ovyoooo......Kuna wajinga watakuja kuhusisha na kabila
Mna roho mbaya afadhali wanaokaa mikoani wamestaarabika ila huko Kilimanjaro roho mbaya haswa wanawakeKuna wajinga watakuja kuhusisha na kabila