mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Mkewe alikuja kusema baada ya police kuja kufanya uchunguzi mana alisema mumewe alisema atajinyonga kisa anamnyima unyumba yy hawez toka nje ya ndoa kuzini mke akaona masihara utajinyonga kisa nimekunyima uchi tu hee asubuh mke akakuta mume kajining'iniza yaan mke analia toka jana mpk sasa tushazika ila analia tu anasema angejua angempa yote afanye anavotaka aichakate anavyotaka dah watu wanalia wengine tunacheka tunasema inabid utupe sisi tuichakate sasaMlijuaje sababu ya kujiua kwake ni kunyimwa unyumba?!!
😹😹😹Hayajakukuta mdau we ngoja tu
Noma sanaMkewe alikuja kusema baada ya police kuja kufanya uchunguzi mana alisema mumewe alisema atajinyonga kisa anamnyima unyumba yy hawez toka nje ya ndoa kuzini mke akaona masihara utajinyonga kisa nimekunyima uchi tu hee asubuh mke akakuta mume kajining'iniza yaan mke analia toka jana mpk sasa tushazika ila analia tu anasema angejua angempa yote afanye anavotaka aichakate anavyotaka dah watu wanalia wengine tunacheka tunasema inabid utupe sisi tuichakate sasa
Sio kweli..Mbegu huwa inapandwa... Either kwenye udongo,,ama sehemu sahihi ya kupanda mbegu...Mbegu yako angalau itendee Haki Kwa kuimwaga mahali pake..Ambapo itakufa Kwa sababu nyingine Ila sio Kwa sababu imekuwa disposed as a garbage...Do sex and ejaculate inside vagina...There you will honour your valuable sperm...Nyeto ni ukatili dhidi ya mbegu zako za thamani...Pia ni matumizi mabaya ya mbegu yenye thamani kuliko mbegu zote hapa duniani.Nyeto ni safe.
Ni pepo tu hilo likikufika mtu anashikwa akili. Omba sana Mungu liepukeHuu ujasiri wa kujiua watu wanatoa wapi
#rip
Mungu atuepusheNi pepo tu hilo likikufika mtu anashikwa akili. Omba sana Mungu liepuke
Ameen!!Mungu atuepushe
kweli/ ingekuwa sumu sawa, lakini moto! Jaribu kwanza kiberiti jichome kidogo, sasa ndo iwe ndani ya nyumbaAFYA YA AKILI
AFYA YA AKILI
AFYA YA AKILI
Hakuna cha mapenzi hapo
Mkuu was nouma kweli kweli
Hayajakukuta, endelea kumshukuru Mungu.Huu ujasiri wa kujiua watu wanatoa wapi
#rip