Rombo: Kisa mgogoro wa mapenzi Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto

Huyo angepona angekua anakula viboko KUMI KUMI KILA SIKU maisha yake YOTE


Kwishaaaaaa
 
Roho kama hizi zisizotimiza makusudi yake na kuondoka kwa uchungu hurandaranda kudai haki

Mtafute huyo mwenza wake Baada ya miaka 5 au 10 utamhurumia, japo anaweza kuwa anaishi lakini utafahamu wazi anatamani afe
Roho ya huyo mwalimu itabaki ikirandaranda ??? Kwanini
 
Huu ujasiri wa kujiua watu wanatoa wapi

#rip
Sio Ujasiri Mkuu....!
Ni Udhaifu, woga, ila sio yeye, Kuna Negative spirit nyuma yake, ambazo zimem push kufanya alivyofanya.

Kuna Watu wangejua kile Mungu alichoweka kwao, soon tu wanapoona sign kadha wa kadha, wangejisalimisha Kwa Mungu 1,000% na wangekua Washindi.

Kuna Mipango ya Mungu, then Kuna Mipango ya Shetani, hii sio mpango wa Mungu......!
Spiritual World is really na wale wenye Access nayo wanaweza kufanya chochote huko kiwe kizuri ama kibaya, na kikatokea kwenye Huu Ulimwengu wa Nyama, coz Kila kitu likianzia/Kinaanzia kwenye Ulimwengu wa Roho, kama ilivyo kwenye Uhai ulianza kwenye Roho Kisha Mtu akawa Nafsi hai, pia wakati wa kufa kitendo Cha Roho kuacha Mwili, Duniani tunasema ni Kifo...!

Ni muhimu kumtegemea na kuwa na uhusiano na yule anayetoa Uhai, bila uhusiano na yeye, Yeyote mwenye access ya Ulimwengu wa Roho anaweza kukuibia Uhai wako.
 
Mwalimu huyu juzi tu hapa katika kupokea ongezeko Toka Kwa mama kalibeba na sandarusi Leo mapenzi yanasababisha ajiue
 
Ingekuwa kila mbegu inayozalishwa kwenye korodani zako ipandwe sehemu inayotakiwa basi dunia isingetosha..
Pia zingekuwa muhimu na za thaman kama unavyosema,bs zingewekewa na ukomo.. (ili tuzitumie kwa mpango)

Narudia punyeto ni safe.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Straight uchwara ktk njegeka za mapenzi, na watakufa sana, mbna hapo badooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…