Rombo: Kisa mgogoro wa mapenzi Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto

More details pls🙏
Kuna Watu Wana access na Ulimwengu wa Roho...!
Watu wa Nuru na Watu wa Giza wote wako na access ya Ulimwengu wa Roho.

Ulimwengu wa Roho ni soko huria, Yeyote mwenye ujuzi, Elimu na Uwezo anaweza ku switch Toka Ulimwengu huu kwenda Ulimwengu wa Roho.

Shetani na Agents wake Usiku mchana Wana kazi kuzuia Binadamu kumuabudu Mungu atatumia Kila njia kuzuia.....!

Nakupa mfano Mdogo ili uelewe....!
Hata hatujazaliwa Shetani anajua Kuna mtoto atazailiwa na familia Fulani, na huyo Mtoto akiwa Mkubwa atakua Mtumishi mkubwa wa Mungu ambaye atasumbua sana Ufalme wa Giza.

Kazi ya kwanza Shetani atafanya kupitia Agents wake, sio tu kuzuia huyo Mtoto asizaliwe, ila kuhakikisha Mimba haitungwi, na ili lifanikiwe inabidi hiyo Ndoa ivunjwe ilishindikana, inabidi Wazazi wote wafe ama mmoja afe...! Wakifanikiwa means mtoto hatazaiiwa.

Wakishindwa, Mimba ya Mtoto itakua kwenye matatizo, na akizaliwa atakua kwenye Matatizo mpaka pale akijitambua yeye ni nani....!

Nimekupa mfano mdogo tu wa mambo yalivyo kwenye Ulimwengu wa Roho, Sasa kuzuia yote hayo lazima uwe mtu wa Kiroho,uliyejisarimisha Kwa Mungu 1,000% na Mungu atakupa njia na Mwongozo.
 
Yaan mtu una ajira yako unajiua kisa mapenzi? Mimi nikitegemea watu wajiue kisa ugumu wa maisha

Watu kama akina Busu la Kenge hata pa kulala hawana lakin huwezi Kuta wamejiua
Mkuu unakuta Alikopa Mkopo kwa Mshahara wanapanga na Mke wake wafanye maendeleo. Harafu Mwanamke pesa anaenda kuhonga kwa wasimamia kucha. Inauma sana.
 
Wendawazimu wewe na huyo muhuni mwenzio..Sasa apo nyeto imeingiaje..?
 
AFYA YA AKILI

AFYA YA AKILI

AFYA YA AKILI

Hakuna cha mapenzi hapo
Polisi nao chenga sana wamekuwa hawana tofauti na Yale magazeti ya udaku hakuna professionalism kabisa wanaporipoti haya matukio yaan wanachoambiwa ndio hicho hicho wanachoripoti hakuna kabisa kuumiza vichwa na kutoa majibu ya kiweledi
 
Miaka 39 anajiua kwa sababu ya mwanamke sijui wanakua wamepata matatizo gani huyu akikusumbua hakutaki si unamuacha baadae unatuliza akili unatafuta pisi ingine kali kwani amezaliwa nae huyo mpaka ajiue aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…