Rombo: Kisa mgogoro wa mapenzi Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto

Dah umeifanya asubuhi yangu
 
kweli/ ingekuwa sumu sawa, lakini moto! Jaribu kwanza kiberiti jichome kidogo, sasa ndo iwe ndani ya nyumba
Hili tukio kuna namna ukweli wake umefichwa, ni ngumu sana mtu kujichoma moto mpaka akaiva hadi akafa haijalishi hata kama ana changamoto ya afya ya akili vipi..

Wote tunaujua moto ulivyo ukijichoma tu hata na pasi akili zinakukaa sawa unaruka kama umeona nyoka... sasa ndio ije iwe mtu kujifungia ndani kabisa halafu ajifunike na blanketi kisha awashe moto aungue mpaka afe??? Hapana kabisa akili yangu haikubali kama hili tukio linawezekana.

Hapa Police itabidi wafanye uchunguzi wa kina kubaina ukweli halisi wa tukio hili haiwezi ikawa ni suicide hii...

Watu wataiamini hii habari bila hata kuhoji wala kujiuliza je hii inawezekana vipi, ila naamini angekuwa mwanamke ndio amejichoma moto hili suala lingechukuliwa kwa uzito sana na lazima uchunguzi ungefanyika na mumewe angewekwa kizuizini mara moja mpaka uchunguzi utakapokamilika.... ila kwa sababu muhanga ni mwanaume hakuna anayejali wala hakuna anayemtilia shaka huyo mkewe na maisha yataendelea kama kawaida.
 
Huu moto ungewaka CHAMWINO ningeshukuru sana
 
Kujisalimisha kwa mwenyezi kwa asilimia mia ni kama kufanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…