Rombo: Kuyumba kiuchumi na kushindwa kulea familia vyasababisha Wanaume kupigwa na Wake zao

Rombo: Kuyumba kiuchumi na kushindwa kulea familia vyasababisha Wanaume kupigwa na Wake zao

Sasa hivi msemo wa wanaume wa dar unabadilika kuwa wanaume wa rombo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Saikologia ya wanawake wengi awapendi demokrasia. Wanaume wengi wapole, wastaraabu na waungwana 90% wake zao pasua kichwa. Wanaume madikteta wale wanaoongea neno moja la pili ngumi ndoa zao zipo imara.
Hawa viumbe awapendi kabisa demokrasia. Wanaume wote wanaonyanyashwa ni democratic.
 
Kuna mambo kama utani ila yanasikitisha sana...
 
Ww jamaa iliyetuma nimeshakujua una Hila na watu wa Rombo rudi kwenu Pangani kacheze mdundiko
 
Wanapigwa kwa sababu mwanaume akilewa unamzibua tu, hasa wao kushinda kwenye mipombe mimbege, chakula hakuna tumboni nguvu wanatoa wapi? Ndo hapo wanabundwa na wake zao.
 
Back
Top Bottom