Kanisa likija kujua kwamba nina dogo dogo litaninyima Sacrament na ndiyo mwanzo wa kutengwa.Tafuta dogodogo akuchekeshe,
Huyo bibi kezee utaomba abaki huko mjini mwaka mzima
Da wazee kama nyie adimu Sana kuwapata.Kanisa likija kujua kwamba nina dogo dogo litaninyima Sacrament na ndiyo mwanzo wa kutengwa.
Kwa umri huu wa Uzee tunatakiwa kutenda mema na kuongeza ibada, maana hatuna miaka 25 ama 30 mbele ya kuishi kulingana na umri wetu.
Kwahiyo bora niwe najipunguzia upweke kwa kujichatisha humu kutwa kucha kwani Pension yangu bado inanilea.
Kutopauka ndo kuwa na hela? Unaweza kuwa na mwonekano mzuri ila usiwe na hela. Nifah unakwama wapi kuelewa mambo madogo kama haya?Unaweza kuwa sahihi kwa upande wako ila kwa Romy nakataa maana kipindi kile alichovurugana na Diamond akasimamishwa alipauka sana hadi aliporudishwa.
Uzee ni hekima, huyo Mzee Kapuya alipuyanga kufanya mambo kwa kutanguliza Hisia.Da wazee kama nyie adimu Sana kuwapata.
Nakunbuka Prof Juma kapuya alikuwa na tuhuma za kumtia Mimba mtoto wa o level
At least hii imekaa poa.Watengeneze scene RJ awe kama ameenda kusoma Marekani tena ingenoga kweli maana inge waacha watazamaji kwenye suspense kujua kama jamaa atarudi na cheti ama laaaaaaah director ana kwama wapi
Ah jambo hilo limeenda. Soon tutapigwa tukio hapo kwa Professa BillWatengeneze scene RJ awe kama ameenda kusoma Marekani tena ingenoga kweli maana inge waacha watazamaji kwenye suspense kujua kama jamaa atarudi na cheti ama laaaaaaah director ana kwama wapi
Daaaah nyie watu jamani? 🤣🤣🙌🏾Oohh hapo nimekupata
Okay kumbe na wewe ni team dark guys, hapo kwenye tall siwezi kusema maana kuna mahali, niliona ulisema kuwa shemeji ana urefu wa kawaida kama wako tu
It Is a good thing though [emoji4][emoji4]
Nakuhakikishia hapana, nampenda sana kumuacha na upweke.Hata wewe Mkuu utakuwa kama huyu Bibi yako ukizeeka, inaonekana mnapenda zaidi kwenda kucheza na wajukuu kuliko kucheza na wenza wenu japo kukumbushia enzi.
Ndiyo maana kwenye kila nyumba 10 basi nyumba 6 unakuta sisi akina Babu tulishatangulia mbele za haki na kuwaacha nyie akina Bibi
Upweke una uma Mkuu 😢
Aaaaah wapi wewe! Hela haidanganyi bwana.Kutopauka ndo kuwa na hela? Unaweza kuwa na mwonekano mzuri ila usiwe na hela. Nifah unakwama wapi kuelewa mambo madogo kama haya?
Vipaji vipo vingi lakini havifanani, kila mmoja ana karama yake.Kuna vijana wengi wana vipaji vya kuigiza na u-dj Ya nini kung'ang'aniza mtu mmoja. Daah
Mkuu niombee basi hizi busara awe nazo mkweo uzeeni!Uzee ni hekima, huyo Mzee Kapuya alipuyanga kufanya mambo kwa kutanguliza Hisia.
Kwa akili za kawaida huwezi kuwa above 60 then uanze kuhangaika na Wanawake tena Wakuzalie na watoto juu, itakuwa kichwani hazijaenea sawasawa.
Maana ukifanikiwa kuishi umri wa Kibiblia miaka 70 ina maana mtoto wako atakuwa na miaka 9 wakati wewe una miaka 70. Hapo probability ya kumtunza na kumsomesha itakuwa ndogo otherwise uwape mzigo ndugu na jamaa wakulelee jambo ambalo sio sahihi hata kidogo.
Chukulia umeanza kuwajua Wanawake tangu una miaka 20 hadi unafika miaka 60 utakuwa hujamaliza tu hamu zako....
Asiyeshiba kwenye sahani hawezi shiba kwenye Kijiko 😜