Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

Kizazi hiki ni messi tu mkuu, ronaldo kaachwa mbali sama na ronaldo sasa kama ronaldo kaachwa mbali na mtu mfupi, vipi hawa vilaza wengine walioachwa na roboti cr7 mnyama..

Kiukweli ronaldo kizazi cha ronaldo kilikuwa hatari pigia mahesabu ya 94 mpaka 2006 jaribu kuweka majina ya mafundi wa zama zile ndio utakuja kukubali de lima kasema ukweli. Jaribu kuwafananisha na masupastaa wa sasa ni messi na cr7 tu wengi wao watasubiri saana, wachache watafikiriwa kupenya..

Binafsi namkubali na kumuheshimu sana andunje messi baada ya pele.
 

Hao aliowataja hawafikii hata ubora wa Neymar Jr. Wale walikuwa wazuri kwa wakati wao, hiki ni kizazi kingine.
 
Na ukitaka kufanya hivyo kuhusu viwango waweza kuanzia chini kabisa hapa nyumbani jinsi leo watu wanataka kuwafananisha kina gagarino zamoyoni mwameja issa athumani na method mogela walingane uwezo na vijana wetu wa leo. Ile ligi ya ndovu huku pamba mwanza kule majimaji pale RTC kigoma duh waqt umekwenda wapi ?
 
Nyakati zinakwenda kwa speed ya light..
 
Hao aliowataja hawafikii hata ubora wa Neymar Jr. Wale walikuwa wazuri kwa wakati wao, hiki ni kizazi kingine.
We acha masihara neymar naye mchezaji , Brazil wamepigwa bao saba na huyo jamaa ndani , tena Germany waliwastahi brazil tu
 
Hao aliowataja hawafikii hata ubora wa Neymar Jr. Wale walikuwa wazuri kwa wakati wao, hiki ni kizazi kingine.

Umemaliza kila kitu kaka na mjadala ufungwe.ongeza na Dybala Suarez,iniesta,mbappe na Hazard.
 
Hao aliowataja hawafikii hata ubora wa Neymar Jr. Wale walikuwa wazuri kwa wakati wao, hiki ni kizazi kingine.

Tatizo lao ubishi umewazidi. Yani imefikia Messi analinganishwa nakutakiaDi lima πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndio maana nikase.a mtu kama hajui mpira aende akafuatilie makatuni.

Level 1
  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele


Level 2

  1. Alfredo de stefano
  2. Cruyff
  3. Platini
  4. Puskas
  5. Cr7
  6. Zidane

Level 3

  1. Requelme
  2. Ibrahimovich
  3. Aimar
  4. De lima
  5. Iniesta
  6. Xavi
  7. Dybala
  8. Aguero
  9. Suarez
  10. Di maria
  11. Neimar
  12. Lewandowsky
  13. Okocha
  14. Henry
  15. Gaucho
  16. Etoo n.k

 
Wewe ni mshabiki wa juzi wa messi na Argrntina,Huna cha zaidi unachokijua.
 
Mwambia akatizame World Cup final ya 1998,Brazil na France,Brazil akifa 3-0 tena akiwa na kosi bora kabisa.France nae akiwa bora pia.Pia akatizame WC fina 2002 Brazil na Gernany.Ndio atajua sasa hivi media zinatudanganya kuna wachezaji wazuri kumbe ni mpira biashara.
 
Hakika
 
Vijana hawataki kusikia hii kitu. Kuna mchezaji alikwenda kwa jina la Said Mwamba aka KIZOTA
 
Hii umeipitia vizuri kabla hujaipachika humu? Kwenye hayo makundi wafuatao ( tena kwa uchache) umewaachaje

FRANZ BECKENBAUER
CARLOS VALDERRAMA
GEORGE WEAH
HRISTO STOICHKOV

Angalia namna nilivyowaleta ili ujifunze kitu na ntafurahi ukiwazungumzia kidogo (Kama unawafahamu). Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…