Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

Nimepitia commets zako zote sijaona facts. Huwezi mlinganisha Messi na Di lima hata kama angecheza miaka 50 ahead lakini asingeweza kumfikia.

Ebu naomba magoli ya de lima ktk kila msimu alocheza Barcelona, Madrid na hata inter alafu tucompare na Messi aliyecheza club moja tena the big club in the world. Najuwa ni wivu huo unakusumbua
Ziko facts nimeweka kwa muhtasari wakati DeLima akivurumisha mpira hukohuko Barcelona. Umezisoma kweli? Mwenzio alitaka kuzikataa hivihivi.

Hivi kwa rekodi ni nani analazimika ku trail? Na kwa mashindano yapi? Copa America? WC? National Team? Individual? UEFA? LEAGUE? Kumbuka kama ni rekodi DeLima kawavuruga kote huko kwa kiwango cha hali ya juu kabisa.
Kama ni vyengavyenga uwanjani hangaikeni na Messi lakini kumbuka ni vema ku achieve mambo makubwa kadri unavyo perform jukumu lolote. Together with Messi and CR7 you have one WC to maximize your records. Keep going dude.
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
World cup Messi kabeba? Ni mzuri, pia tunaangalia na mafanikio ya team ya taifa.
 
Hii kitu wafuasi wa Messi hawataki kuisikia sijui kwa nini. Ni vema wakamuunga mkono ili mwenzao afanikiwe kwenye mashindano yajayo.
 
utatokota mkuu ..shauri yako kwahiyo hoja yako basi tufanye fabregas na David Vila ni bora kuliko cr7 maana wao wamebeba world cup then cr7 hjabeba..hahaa
hapa tuna angalia mafanikio ya mchezaji binafsi na sio ya team nzima kwa ujumla wake
 
hahaaa acha masihara basiii kitu kipya hukijui kweli ..kitu kipya ni Rinaldo na messi kuwa wafungaji wa uefa wa muda wote while delima nae kacheza ulaya pia..kitu kipya ni messi kupiga goal 91 za ndani ya msimu mmoja record iliyoweza kuvunjwa baada yakupita miaka 20,,kitu kipya ni cr7 kuwa mfungaji wa muda wote wa r.Madrid wakati hao kina figo nao walicheza hapo hapo..kitu kipya ni messi kuwa mfungaji bora ktk ligi ya Spain nakuweza kuvunja rec .ya zara iliyokaa zaidi ya miaka 20..aiiiseee hvi wewe ndio wale wanaotajwa kuwa na macho lakini hawaoni au ??

Huyu ndugu yetu ni mbishi sana, sijui ni asili yake ubishi!!!! Yani tembo anamcompare na sisimizi/Di lma 😀😀😀
 
achana nae kuna watu wengine wamezaliwa kuwa concevertive so ukianza kuwaelewesha watakuletea ubishi mpka kesho
 
Hii kitu wafuasi wa Messi hawataki kuisikia sijui kwa nini. Ni vema wakamuunga mkono ili mwenzao afanikiwe kwenye mashindano yajayo.

Tatizo lako unalazimisha kitu ambacho hata mtoto mdogo atakucheka kiongozi. Ivi kweli Messi umlinganishe na Di lima, Zidane ama Gaucho? Serious kweli Mkuu??? Hata Cr7 bado sana kumfikia. So Kama umezipiga za arusha tafadhali lala baadae twendelee, sawa kiongozi wangu.
 
utatokota mkuu ..shauri yako kwahiyo hoja yako basi tufanye fabregas na David Vila ni bora kuliko cr7 maana wao wamebeba world cup then cr7 hjabeba..hahaa
hapa tuna angalia mafanikio ya mchezaji binafsi na sio ya team nzima kwa ujumla wake
Hapa kama ni hoja ya mafanikio binafsi basi Messi ni wa kawaida sana. Mafanikio yake yako very limited. Nje ya Barcelona na UEFA anabaki mchezaji wa kawaida tu.
Tunaposema wachezaji nguli katika soka ni nguli kwelikweli. Mbali na DeLima iko midude kama Zidane. Uzuri huyu bado yuko uwanjani akitoa uzoefu wake na mafanikio unayaona waziwazi. Need I say more?
 
hamna lolote kizazi Cha R9. Kizazi kilichokuwa Na challenge kubwa Ni 1992 -1996 hata ukifuatilia UEFA championship league kufunga goli hata moja enzi hizo ilikuwa ngumu. AC Milan Na Ajax Amsterdam, Barcelona Na marceile ya ufaransa.

AC Milan
1. Dejan Cecicevic mserbia
2 . Paulo maldin
3. Franco Baresi
4. Rais George Weah
5. Albertini
6. Boban, ambaye haruna Moshi kaiga Hilo jina kutoka kwake alikuwa mcroatia

Juventus
1. Ravaneli fabrazio
2. Roberto Baggio
3. Gianluca Viali

Beryan Munich
Lother Matthias
2. Oliver bierhoff
3. Jurgen klinsman
4. Rudi voller

Borrusia Dortmund

Chapuisat
Mathias summer
Victor ikpeba mnigria

Marseille
1. Abedi pele

Real Madrid
Ivan Zamorano mchile huyu

Barcelona
Romario
Ronald koeman
Hristo stoichkov

Sasa wanaume Yani enz hizo tishio Na Ni nyakati hizo R de lima alikuwa kinda uholanzi psv pamoja Na gaucho. AJAX AMSTERDAM Dah Ajax ilikuwa tishio chini ya kocha Luis Vaan Gal

Naanza Na waafrika watatu kutoka Nigeria waliipaisha Ajax

Sunday Oliseh
Finidi George
Nwanko Kanu

Wengine

.Frank rijkaard
.Frank de Boer
.Ronald de boer
Patrick cluivert alikuwa 19 yes alipofunga goli la pekee UEFA chmp league 1994 dhidi ya Ac M
ilan
. Clarence seedorf
.edagR davis
. Reinziger
Jari litmanen
. Edwin van der saar

Jezi Yao ilidhaminiwa Na ABN amro bankView attachment 668693

Hiki ndio kizazi Cha mpira wenye changamoto
Ukweli huu watu hawataki kuuelewa.
hamna lolote kizazi Cha R9. Kizazi kilichokuwa Na challenge kubwa Ni 1992 -1996 hata ukifuatilia UEFA championship league kufunga goli hata moja enzi hizo ilikuwa ngumu. AC Milan Na Ajax Amsterdam, Barcelona Na marceile ya ufaransa.

AC Milan
1. Dejan Cecicevic mserbia
2 . Paulo maldin
3. Franco Baresi
4. Rais George Weah
5. Albertini
6. Boban, ambaye haruna Moshi kaiga Hilo jina kutoka kwake alikuwa mcroatia

Juventus
1. Ravaneli fabrazio
2. Roberto Baggio
3. Gianluca Viali

Beryan Munich
Lother Matthias
2. Oliver bierhoff
3. Jurgen klinsman
4. Rudi voller

Borrusia Dortmund

Chapuisat
Mathias summer
Victor ikpeba mnigria

Marseille
1. Abedi pele

Real Madrid
Ivan Zamorano mchile huyu

Barcelona
Romario
Ronald koeman
Hristo stoichkov

Sasa wanaume Yani enz hizo tishio Na Ni nyakati hizo R de lima alikuwa kinda uholanzi psv pamoja Na gaucho. AJAX AMSTERDAM Dah Ajax ilikuwa tishio chini ya kocha Luis Vaan Gal

Naanza Na waafrika watatu kutoka Nigeria waliipaisha Ajax

Sunday Oliseh
Finidi George
Nwanko Kanu

Wengine

.Frank rijkaard
.Frank de Boer
.Ronald de boer
Patrick cluivert alikuwa 19 yes alipofunga goli la pekee UEFA chmp league 1994 dhidi ya Ac M
ilan
. Clarence seedorf
.edagR davis
. Reinziger
Jari litmanen
. Edwin van der saar

Jezi Yao ilidhaminiwa Na ABN amro bankView attachment 668693

Hiki ndio kizazi Cha mpira wenye changamoto
 
Tatizo lako unalazimisha kitu ambacho hata mtoto mdogo atakucheka kiongozi. Ivi kweli Messi umlinganishe na Di lima, Zidane ama Gaucho? Serious kweli Mkuu??? Hata Cr7 bado sana kumfikia. So Kama umezipiga za arusha tafadhali lala baadae twendelee, sawa kiongozi wangu.
Hizi ni dalili za kukosa hoja na probably huna facts. Nime extract records za hao wachezaji nikaweka humu ndani sijaona ukizikataa kwa facts zaidi ya hivi vioja unavyoleta. The thing i conquer most ni kwamba kwa skills za Messi amerundika tu record twingi tudogo tudogo. It's just like una magari kumi na yote yako kwenye mawe wakati mwenzio anayo matatu ambayo ni productive.
Generally Messi must come out with more world class records to complete his career. And this is my challenge to you guys, atuletee Copa America na World cup kabla ya kwenda hiyo mnayosema sayari nyingine.
 
Hapa kama ni hoja ya mafanikio binafsi basi Messi ni wa kawaida sana. Mafanikio yake yako very limited. Nje ya Barcelona na UEFA anabaki mchezaji wa kawaida tu.
Tunaposema wachezaji nguli katika soka ni nguli kwelikweli. Mbali na DeLima iko midude kama Zidane. Uzuri huyu bado yuko uwanjani akitoa uzoefu wake na mafanikio unayaona waziwazi. Need I say more?
halafu wew Jamaa dish litakuwa limeyumba hahaaa ...unasemaje !!? hvi uko timamu kweli
khaaaaaa !!???
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
...Huyo messi na Ronaldo angalia Beki wanazokutana nazo ndiyo maana wanafikisha hizo goal...kuna kina marcely desailly kuna kina Nesta kina fernando hiero, laurent blanc,roberto carlos.....Huyo messi na Ronaldo wasingekuwa wanafikisha hizo goal kipuuzi namna hiyo.
 
halafu wew Jamaa dish litakuwa limeyumba hahaaa ...unasemaje !!? hvi uko timamu kweli
khaaaaaa !!???
hivi unajua Tito kuna wakati anatushangaa. Sasa kwa muda wote huu una facts gani contrary na nilizokuwekea aisee. Mbali na personal attacks sioni msingi wa hoja zako. In fact personal attacks ni kundi la chini kabisa katika ulimwengu wa maarifa.

Ukishindwa kuyaona mafanikio ya sasa ya Zidane ni dhahiri una tatizo mahali. Unaposema Zidane anaujua mpira ni records mkuu zinazotokana na anavyoujua mpira. Tuletee za huyo kijana
 
nimetoa fact nyingi mnooo humu acha kujifnya huelewi kitu ..jaribu kufuatilia post zilizopita ..huwenda ikawa nacho kiongea sio level ya ubongo wako ndio maana hutaki kuelewa ..moja ya fact niliyotoa niliwaambia kuwa katk rank za uefa zidane anasimama ktk nafasi ya 4 kama mchezaji bora wa ulaya ..nyuma ya cryf.platin na cr7 .so huo ubora wa hao wachezaji wenu bora mnao wataja uko wapi ikiwa wameachwa mbli mpka na kina platin ndio watafikia level ya messi anayefahamika kama G.O.A.T

HIYO HOJA MLIJIFNYA KUTOIONA MKAIPITA DAAHH MNAVISA
NIMETOA FACT KIBAO MNOOO HUMU FUATILIA POST ZANGU ZA NYUMA ...
THEN NAKWENDA KUPMZIKA NOW ..HUU MJDALA KWA LEO NAISHIA HAPA .NGOJA NITEMBELEE MAJUKWAA MENGINE NIPATE KUJIFNZA ZAID
 
hivi unajua Tito kuna wakati anatushangaa. Sasa kwa muda wote huu una facts gani contrary na nilizokuwekea aisee. Mbali na personal attacks sioni msingi wa hoja zako. In fact personal attacks ni kundi la chini kabisa katika ulimwengu wa maarifa.

Ukishindwa kuyaona mafanikio ya sasa ya Zidane ni dhahiri una tatizo mahali. Unaposema Zidane anaujua mpira ni records mkuu zinazotokana na anavyoujua mpira. Tuletee za huyo kijana
Power hawa vijana ni wabishi na inawezekana unaebishana nae hakumkuta de lima, zinedine katika viwango vyao....Hivi saivi kuna beki gani bora ambaye kila mshambuliaji anaogopa hata kukutana nae..!?...Messi na mwenzie ni wachezaji wa viwango vyao ambavyo huwezi kuwaweka daraja moja na hicho kizazi cha nyuma ambacho ni kizazi cha dhahabu kweli kweli
 
...Huyo messi na Ronaldo angalia Beki wanazokutana nazo ndiyo maana wanafikisha hizo goal...kuna kina marcely desailly kuna kina Nesta kina fernando hiero, laurent blanc,roberto carlos.....Huyo messi na Ronaldo wasingekuwa wanafikisha hizo goal kipuuzi namna hiyo.
mkuu huyo messi unaye. mzumgumzia hapa aliwapiga Madrid ya capelo goal 3 mguuni akiwa anatokea benchi team ya Madrid ikiwa na kina zidane .nahao kina r .carlos na yule beki wao RAIA wa Italia aliyewahi kuchukua balloon Dior na Madrid ilikuwa inaongoza goal 3 bila messi alivyoingia kipndi cha pili akarejesha zote mechi ikawa draw ..tangu siku hiyo mpka leo Fabio capelo ana amini hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea chini ya hili jua zaidi ya messi.messi huyo huyo alimdhalilisha Paul schols kwakumpiga matobo kama mtoto mdogo ..nanina dhani sifa ya scholsc dhid yakuwa kiungo mkabaji bora unaijua vyema...sasa wataka mabeki gani tena waje kumkaba au kutoka mars hahaaa
 
Nikuletee ya mwisho na twende huko kwenye majukwaa mengine. Kwenye National Team majukumu ya juu kabisa waliyowahi kuwa nayo Messi CR7 na R9 ni timu kapteni kwa hao wawili wa mwanzo na R9 akipewa kama goal getter.
Katika hao ni nani alitimiza majukumu hayo vizuri kwa kuacha Landmark(s). Just relax and enjoy your reading.
 
Back
Top Bottom