Ronaldo de lima(The Real Ronaldo), Ronaldo de asis moreira(Gaucho) na Christiano Ronaldo nani mkali?


Huyo ni nyanya kwa KUN AGUERO.
 
nyoo..kale chipsy snack..mourinho anamuita the real ronaldo sio Christina wako,MTU wa mpira kazi,anaweza kila kitu,chenga,stamina,mbio,ball control,target,ila kwa uzanduuzandu gaucho mtamu..yaan stress lazma ziishe

King ndio kila kitu babaa. Hakubakiza kitu katika soka. Hao wote nyanya tu.
 
Watoto wa siku hizi watakwambia kwamba hawamjuhi de lima
 
Ronaldinho. Fundi aliyezaliwa huku Ana piga danadana.
 
De lima mpaka aliitwa El phenomenon haikuwa kazi rahisi.

Alikuwa na kipaji maridhawa sana, mpaka sasa Dunia haijapata natural number 9 kama Ronaldo De Lima.
 
Saizi yuko wapi huyo chuji?
 
RONALDINHO GAUCHO aka DaDa aka Manjino aka Mkata Mauno aka Manywele.....hii silaha ni ya Hatari sanA
 

RONALDINHO GAUCHO aka MANJINO....Baada ya hii mechi inasemekana Salgado alistaafu
 
Kila mmoja ni mkali kwa wakati wake,

Ronaldo de Lima alicheza kipindi kinachoaminika kuwa na mabeki Wa kawaida tofauti na sasa, mabeki Wa sasa so rahisi kuwalinganisha na mabeki Wa zamani,

Hapa hakuna usawa katika kumpata alie bora zaidi ya mwenzake zaidi ya mapenzi binafsi

Me nadhani kila mmoja ni bora katika muda/kipindi chake
 
Umekuja jukwaa la sports ututapeli si ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…