Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Picha zao tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
El Phenomena... Ronaldo
Ukitaka kumjua huyu mtu vizuri mtafute kipa mmoja maarafu sana wa Ujerumani kipindi hicho anaitwa Oliver Khan.
Kwa sifa alizokuwa nazo Khan kipindi hicho hadi akapewa sifa ya ziada kwa kuitwa 'kipa mwenye mikono elfu moja' lakini mbele ya El Phenomena Ronaldo de Lima (mwaka 2002 hiyo) alitepeta balaa
nyoo..kale chipsy snack..mourinho anamuita the real ronaldo sio Christina wako,MTU wa mpira kazi,anaweza kila kitu,chenga,stamina,mbio,ball control,target,ila kwa uzanduuzandu gaucho mtamu..yaan stress lazma ziishe
Unasemaaaaa.....!?Huyo ni nyanya kwa KUN AGUERO.
Hahahahahaha hadi raha mkuiWote hao ni panzi kwa MFALME MESSI.
Olympic, au sio la jeshima mzeeMessi Ana.kombe.gani.la heshima said ya UEFA?
Hata la bara lake hana
Saizi yuko wapi huyo chuji?Athuman Idd Chuji..
Kati ya hao wote uliowataja hakuna aliyewahi kufikia kiwango cha huyu mtu tofauti yao ni kwamba wao wamezaliwa kwa watu wanaojielewa zaidi yetu..
Huyu Chuji baada ya mechi kuisha kati ya Ivory coast na Tz, Yahya Toure akamuuliza kwanini hauchezi Ligi za Uingereza.??
Olympic, au sio la jeshima mzee
1.Ronaldo Luís Nazário de Lima
Yes maumivu yalimwandama