makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Shukrani mkuu..Jamaa unaujua mpira na umeuangalia.sana, mjadara.unakuwa mtamu ukikutana na anaye jua kama wewe
De lima Kuna baiskeli moja alimpigia kipa wa ghana akalala kushoto af mwamba akacheka na nyavu sitaisahau...ila all in all Christiano amewika sana kwa kufunga magoli bila kujali ni ya aina gani ila mnyama gaucho alikua ana vitu adimu mno uwanjani akifuatiwa na De lima...so kwa opinion yangu hapo kwa vitu adimu hapo wa kwanza Gaucho,wa mwisho CRNikurekebishe.. de lima hakuwa mmaliziaji, wamaliziaj ni kina inzaghi, chicharito, giroud n.k
De lima alikuwa zaidi ya umfikiriavyo wewe, alikuwa na driblling nzur, ana vitu mguuni, control imelala, vibaiskeli sijui takataka gani alikuwa anavyo mguuni, na mwisho ndio mfungaji..
Mtafute popote alipo ukamuombe radhi..
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
klose ndo anaongoza 16Yeye na Klose wanafungana kwa kuwa na magoli 15 kila mmoja kama sikosei.
Heeeee wewe jamaa uliandikaga Uzi humu kuhusu kutapeliwa kwako.......Na huyu bwana...KEVIN ISAYA TAPELI.....WEWE ni TAPELI...UMENITAPELI PESA ZANGU KWA AHADI UTANITUMIA MZIGO WANGU NILIO KUAGIZA BAADA YA MIMI KUFANYA MALIPO.
USIZANI UPO SALAMA KWA PESA ZA ZULMA...IPO SIKU NITAKUKAMATA.NINA USHAHIDI WA MALIPO NILIYOFANYA KWAKO NA SMS ULIZOKUWA UNANITUMIA ZA UPDATE YA MZIGO MPAKA UKAINGIA MITINI.
WEWE NI TAPELI...NGOJA NIKIPATA LIKIZO NITAENDA KWENYE UBALOZI KUKUSHTAKI WEWE NI JAMBAZI.
kevin isayaKEVIN ISAYA TAPELI.....WEWE ni TAPELI...UMENITAPELI PESA ZANGU KWA AHADI UTANITUMIA MZIGO WANGU NILIO KUAGIZA BAADA YA MIMI KUFANYA MALIPO.
USIZANI UPO SALAMA KWA PESA ZA ZULMA...IPO SIKU NITAKUKAMATA.NINA USHAHIDI WA MALIPO NILIYOFANYA KWAKO NA SMS ULIZOKUWA UNANITUMIA ZA UPDATE YA MZIGO MPAKA UKAINGIA MITINI.
WEWE NI TAPELI...NGOJA NIKIPATA LIKIZO NITAENDA KWENYE UBALOZI KUKUSHTAKI WEWE NI JAMBAZI.
Anafkiria De Lima kama christiano ronaldo, yule kipa wa Ghana alifanywa vibaya na De Lima kwwnye WC 2006. De Lima anadriblle na anafanya kila kitu akiwa na mpira, hakuwa mviziaji kama akina Benzema.Nikurekebishe.. de lima hakuwa mmaliziaji, wamaliziaj ni kina inzaghi, chicharito, giroud n.k
De lima alikuwa zaidi ya umfikiriavyo wewe, alikuwa na driblling nzur, ana vitu mguuni, control imelala, vibaiskeli sijui takataka gani alikuwa anavyo mguuni, na mwisho ndio mfungaji..
Mtafute popote alipo ukamuombe radhi..
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Na jamaa hakuwa na matamaa ya ufungaji wa magoli kama christiano ila alikuwa anacheza mpira wa kawaida sana uliojaa burudani. Hata timu pinzani zilimpenda jamaa.De lima alikuwa anaujua mpira, mtu wa kazi, control, skills za kumwaga, speed anayo, akitaka lake atalipata, sio mtu wa kuguswa na kuanguka anguka kama anadege dege kabla ya pancha yake, alikuwa na target, alikuwa na stamina..
Niliinjoi mnoo kumtazama uwanjan, mara kwa mara narudia baadhi ya game zake.. huyu mtu ni hatari namba 9 bora toka nianze kutizama mpira.
klose ndo anaongoza 16
Cr7 anajua kitu kinachomuweka kwenye chati ni magoli hana mpira wa maana kuwasumbua hawa magwiji.. ndio maana huwa anahaha kusaka goli..Na jamaa hakuwa na matamaa ya ufungaji wa magoli kama christiano ila alikuwa anacheza mpira wa kawaida sana uliojaa burudani. Hata timu pinzani zilimpenda jamaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] heri kane[emoji23] [emoji23] [emoji23]Delima nisawa tu na heri Kane, sijaona hadhi ya kuingia kwenye group la cr7 na gaucho
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sepa tu mkuu hamna shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] heri kane[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] kwaherini mie nasepa, imefikia r9 anafananishwa na harry kane [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji35] [emoji35]
mkuuu si tumeshawasilianaKEVIN ISAYA TAPELI.....WEWE ni TAPELI...UMENITAPELI PESA ZANGU KWA AHADI UTANITUMIA MZIGO WANGU NILIO KUAGIZA BAADA YA MIMI KUFANYA MALIPO.