Kinacho oa sio hela Bali utimami wa akili ,nafsi na utayari wa kulea(kubeba majukumu na maudhi).Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
🚮🚮🚮Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Lkn hata hapa bongo kupata huduma zote za mume bila kuoa inawezekanaila anapata huduma zote anazopewa mume
1. Furaha sio pesa peker kwani unaweza kuwa nazo sana na ukakosa hiyo furahaNani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Ni kupotezeana muda pande zoteLkn hata hapa bongo kupata huduma zote za mume bila kuoa inawezekana
Hata mzee Slaa bado anaishi na mchumba wake Josophin kama sijakoseaNani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Kwani si kila mtu Ana maisha yake,hulka yake,na kipaumbele chake?,tusipangiane vipaumbeleNani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Kipindi baba yako ana muoa mama yako na kuzaa mpumbavu kama ww alikuwa tajiri namba ngapi hapa Tz?Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Hata hapa Tanzania ni ngumu. Ni vile tu kwamba wanaume wengi hawana cha kupoteza / kugawana.Ataki kuoa kwa sababu anaogopa sheria za ndoa ni ngumu kama mtaachana
AMBAYE ANAMLIPA DOLA 110000 KILA MWEZI KAMA MSHAHARA.Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Hivi unadhani maisha ndiyo kitu cha kujivunia? Mende ana uhai, mbwa ana uhai pia. Ikiwa unajivunia uhai, wewe na mbwa au mende tofauti yake nini?Kwamba wewe ulizaliwa nje ya ndoa au babako ana hela kuliko Ronaldo?
Ujinga ni kujvunia kuzaliwa wakati hata mbwa wanaaliwa.Tanzania wajinga hawaishi .
Baba yake na mtoa mada alikuwa tajiri sana hadi akqfikia maamuzi ya kumuoa mama yake na mtoa mada.