Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

Screenshot_20241230-135601.png

Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Kinacho oa sio hela Bali utimami wa akili ,nafsi na utayari wa kulea(kubeba majukumu na maudhi).
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
1. Furaha sio pesa peker kwani unaweza kuwa nazo sana na ukakosa hiyo furaha

2. Furaha sio kuoa pia
Maisha hayatabiriki.

Sulemaini aliwahi kusema hivi;
Jambo la ajabu nimeona, tajiri aenda kwa miguu lakini masikini akibebwa na farasi.
ukiyajua haya utashangaa kuwa wala pesa sio mara zote ni chanzo cha furaha

Nikiwa na mke/mwanamke mweleqa, mwenye akili njema tukawa na bond nzuri...kwangu hii ni zaidi ya furaha.
Hii itanifanya nifikiri na kupanga mipango yangu kwa utulivu na umakini.
kila mtu ana chanzo chake cha furaha.

Kwa walio miliki pesa nyingi kiasi kuanzia angalau bank isome kuanzia 100m watanielewa kuwa kuna vimateso vinakufuata na ukosefu wa amani halisi.

huwezi nielewa hadi umenielewa
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Kwani si kila mtu Ana maisha yake,hulka yake,na kipaumbele chake?,tusipangiane vipaumbele
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Kipindi baba yako ana muoa mama yako na kuzaa mpumbavu kama ww alikuwa tajiri namba ngapi hapa Tz?
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
AMBAYE ANAMLIPA DOLA 110000 KILA MWEZI KAMA MSHAHARA.
RONALD AMEFANYA ILE SOGEA TUISHI AMBAYO HATA BONGO INAFANYIKA SANA TU
 
Kwamba wewe ulizaliwa nje ya ndoa au babako ana hela kuliko Ronaldo?
Hivi unadhani maisha ndiyo kitu cha kujivunia? Mende ana uhai, mbwa ana uhai pia. Ikiwa unajivunia uhai, wewe na mbwa au mende tofauti yake nini?

Money Money, Money is what makes a man to be contrasted from other animals.
 
Back
Top Bottom