SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Kilichomkuta Bill Gates na Abromovic unakijua?? Wanawake wa sasa ni business oriented, sasa wee jifanye Mr. Lover man, utakuja kusimulia hapa..Kila mtu anaeoa ana lengo lake 1 ni zinaa anaeoa Ili asizini 2 ni awe mke wake Halali hata kikitokea chochote awe na pakuanzia 3 haki za msingi zinazowatambua wanandoa Kila Moja apate haki yake 4 watoto kuwa na baba ndani ya ndoa. Ronaldo ni nani mpaka tumfanye wakumuiga? Tuache mafundisho ya Allah tumfate to Dolnaro?
Sawa nitatafuta changu hata kwa kuuza karanga, yeye pia aache kuwasiliana na mimi.Huyo ni mzazi wako, kala chake nawe tafuta chako. Mheshimu daima.
Hili chimbo limekuwa maarufu sana 😄Acha kufundisha wenzio tabia mbaya, unataka wasioe ili muwe mnapanga wote foleni River side 😏
Kuachana kwa matajiri uliowataja ni mfano kuwa kutafuta pesa na kuchelewa kuoa sio suluhisho la ndoa wala kuzaa watoto wachache. Ukiamua na sio shoga na unamudu kuwatunza zaa wengi tu.Kilichomkuta Bill Gates na Abromovic unakijua?? Wanawake wa sasa ni business oriented, sasa wee jifanye Mr. Lover man, utakuja kusimulia hapa..
Mada inataka utaje faida za ndoa ambazo mseja hazipatiKama ilivyo kwako kuwa na ronaldo kama role model wako bila kuchaguliwa na mtu yeyote, vivyo hivyo waliooa kuna kitu/watu waliwainsipire kuoa.
Ishi na useja wako, wao waishi kwenye ndoa zao. Usiwapangie wala usitake mfanane
Bila shaka haujaelewa mantiki yangu. Hao jamaa walipokonywa Mali zao baada ya divorce. Ni bora kuishi nao kuliko kufunga ndoa..Kuachana kwa matajiri uliowataja ni mfano kuwa kutafuta pesa na kuchelewa kuoa sio suluhisho la ndoa wala kuzaa watoto wachache. Ukiamua na sio shoga na unamudu kuwatunza zaa wengi tu.
Huwa mnapotosha maana ya maneno ya kiswahili saazingine bila kujua.Hata mzee Slaa bado anaishi na mchumba wake Josophin kama sijakosea
Huyo ni mama gani, mamako mzazi au mama wa kambo yaani mke wake baba?Mama yangu alistaafu mwaka 2020 akapewa 85 millions ya kiinua mgongo kisha akakimbia kutoka Dar akarudi kijijini kwao Dodoma. Pesa zimemuisha anaanza kunitafuta kwenye simu ananijulia hali. Wakati hakunipa hata shilingi 50.
Nimemwambia, kila mmoja ashinde mechi zake.
Nimemwambia akinitatuta tena kwenye simu nitamtukana..
Hiki kichaka unachotaka kulitumia kujifichia ni kidogo sana. Kwa taarifa yako tu ni kwamba Ronaldo ana mtoto ambaye alizaa na mchumba wake wa kwanza. Yuko kwenye aoademi za mpira hivi Sasa.Je kama jongoo lake halipandi mtungi na anapakatwa, ukishalijua hilo baadaye utakuja kurekebisha topic, ama utaendelea kumchukulia kama role model wako?
Sikia, siyo kila baba unayesikia kazaa ni baba.Hiki kichaka unachotaka kulitumia kujifichia ni kidogo sana. Kwa taarifa yako tu ni kwamba Ronaldo ana mtoto ambaye alizaa na mchumba wake wa kwanza. Yuko kwenye aoademi za mpira hivi Sasa.
Kupokonywa mali sio sababu ya kutooa. Hata ukizaa bila ndoa utaandamwa na kanuni za kisheria kutunza au kulea. Kilicho nyuma ya mjadala wa kukataa ndoa ni ukisasa au ushoga. Tuoe na kuzaa na kuwatunza. Utamaduni, lugha, na asili vipo kwa kuwa tuliozaliwa, tulilelewa na kutunzwa. Tusiige yasiyotuhusu.Bila shaka haujaelewa mantiki yangu. Hao jamaa walipokonywa Mali zao baada ya divorce. Ni bora kuishi nao kuliko kufunga ndoa..
Dhambi haipo kwenye zinaa tu. Dhambi inapatikana kwa kuwaza, kunena na kutenda.Kila mtu anaeoa ana lengo lake 1 ni zinaa anaeoa Ili asizini 2 ni awe mke wake Halali hata kikitokea chochote awe na pakuanzia 3 haki za msingi zinazowatambua wanandoa Kila Moja apate haki yake 4 watoto kuwa na baba ndani ya ndoa. Ronaldo ni nani mpaka tumfanye wakumuiga? Tuache mafundisho ya Allah tumfate to Dolnaro?
Kuna shida sehemu, nahisi si mzazi wako.Sawa nitatafuta changu hata kwa kuuza karanga, yeye pia aache kuwasiliana na mimi.
Kwanini ananitafuta baada ya pesa kumuisha sasa?? Mimi kapuku ananitafuta wa nini??
Akiendelea kunitumia SMS au kunipigia simu, nitamtukana matusi ya nguoni. Aniache na kazi zangu za kuuza Uji..
Kwisha hiyo.Kupokonywa mali sio sababu ya kutooa. Hata ukizaa bila ndoa utaandamwa na kanuni za kisheria kutunza au kulea. Kilicho nyuma ya mjadala wa kukataa ndoa ni ukisasa au ushoga. Tuoe na kuzaa na kuwatunza. Utamaduni, lugha, na asili vipo kwa kuwa tuliozaliwa, tulilelewa na kutunzwa. Tusiige yasiyotuhusu.
Kuitunza na kulea watoto wangu kwani kuna ubaya gani?? Siwezi kugawana Mali zangu na toto la mtu mwingine eti kisa ndoa..Kupokonywa mali sio sababu ya kutooa. Hata ukizaa bila ndoa utaandamwa na kanuni za kisheria kutunza au kulea. Kilicho nyuma ya mjadala wa kukataa ndoa ni ukisasa au ushoga. Tuoe na kuzaa na kuwatunza. Utamaduni, lugha, na asili vipo kwa kuwa tuliozaliwa, tulilelewa na kutunzwa. Tusiige yasiyotuhusu.
Ni mama yangu mzazi..Huyo ni mama gani, mamako mzazi au mama wa kambo yaani mke wake baba?
Hakuna hoja inayostahili kujibiwa hapa, a lot of jokes in here.Kustaarabika?
Kwangu ni tofauti kidogo,
Kitendo cha huyo Mjaluo kuvuta sigara tu kwangu ni upumbavu uliokithiri.
Mimi nadhani masikini wa mali waliowengi ndio wanamuona huyo OBAMA kama role model wao kwa kudhani kuwa wale binti zake watashindwa kutumia mali za baba yao kikamilifu na kuwapatia wao kama msaada.
Haya mawazo hata mtoa mada anayo sana.
Acheni utegemezi!
Mtu unaishi kwa shemeji yako,utaoa ili iweje?
Dada yako akifukuzwa wewe na mkeo mtabaki?
Ni mama yangu mzazi..Kuna shida sehemu, nahisi si mzazi wako.
Kataa ndoa tunaumaliza mwaka 2024 kwa ushindi wa 3-0Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Hana nguvu za kiume huyo ndio.maana wanawake hawataki kuolewa naye wanabaki urafiki tuNani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.