Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Bro
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Bro hata wewe Mungu kakupa akili, sio lazima ufate wanayofanya wengine, usiwe kama maiti unapelekwa Pele kwa tu, Kikwete kaoa hajaoa!Bakheresa kaoa hajaoa!?
Bepari Mulokozi, kaoa hajaoa! bill gates alioa hakuoa!?
Angalia maisha kupitia pembe tofauti tofauti, usiige,copy and paste tu, copy edit paste!
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Kutooa kwa Ronado nj mashart wa mganga wake ujue huyu shetani ni hasara na kama baba yake alikuwa maskini akaoa na kumzaa Ronado inakuwaje yeye tajiri anashindwa kufyatua watoto
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
nenda ukamuhoji C7 kwanini mpaka sasa hajaoa akikupatia majibu utuletee majibu tuyatafakari tukiona hayana mashiko tuendelee na ndoa zetu hata kama ni pasua kichwa..!?
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Akili Kisoda.Mbona wewe Hujaoa Na Huna Utajiri Kama Ronaldo? Kwa Kukusaidia Matajiri Wanaomlipa Mshahara Huyo Mumeo Wameoa Wakiwa na Miaka Ishirini Tu,Arabuni Hakuna Mbuga Za Wanyama Hivyo Hao Akina Ronaldo Na wenzao Wanatumika kama Vivutio Vya Matajiri Wakiwa Wanakimbia kimbia Uwanjani Kugombea Mpila Mmoja Ni Sawa Na Unavyoona Chui Akikimbiza Swala Pale Serengeti.
 
Mkuu waislam ni kam tu Ronaldo unaoa asubuh jion talaka 3 😄😄 takbiriiiiiii
Kwa Hiyo Ndo Maana Unaogopa Kuwa Mwislamu ?Njoo Kwenye Uislamu Hakuna Atakae Kulazimisha Kuolewa Au Unaona Raha Uko Ukafirini Una mchiti Mumeo Ukijua hawezi Kukuacha Ila huku kwenye Uislamu Ukichiti Kwenu Anachukua mwengine Nafasi Yako.Kama Ni Hivyo Dada Endelea Kudanga Mumeo Hawezi Kukupa Talaka.
 
AMBAYE ANAMLIPA DOLA 110000 KILA MWEZI KAMA MSHAHARA.
RONALD AMEFANYA ILE SOGEA TUISHI AMBAYO HATA BONGO INAFANYIKA SANA TU
Aisee hatari...kumbe kweli hamna mbususu ya bure.
Dola lakimoja mshahara....i hope anamla tigo huyo mrembo maana hizo ninhela nyingi sana
 
Kinacho oa sio hela Bali utimami wa akili ,nafsi na utayari wa kulea(kubeba majukumu na maudhi).
Kuoa oa hovyo na kuzaa zaa tu ni kiashirio cha ujinga na umasikini.

Linganisha jamii zilizoendelea na jamii masikini ni wapi wanaoa oa!

Kwanza kuoa ni sababu ya idle mind na kukosa kazi za kufanya.

Watu wako bize kusoma, kuinvest na kuinvent, wajinga na masikini wako bize na ngono, kuoana na kuzalisha ovyo!
 
Kwani Obama Ni Nani Kwenye Maisha Yako ?Mnashare nini Wewe Na Obama Akifa Utalithi Mali Zake? Kuwa Na Akili japo Kidogo Siku Ukisikia Obama Anatafunwa Na Wewe Tafuta Mume Utafunwe Huko Mbagala.
Huna hoja, unaandika upuuzi na ushoga, nadhani ni kwa sababu ya ujinga uliopindukia.

Obama ni role model, unajua maana ya role model ndugu?

Obama ni kati ya watu weusi waliostaarabika, kuelimika na kufanya mambo mazuri yanayostahili kuigwa duniani.
 
Back
Top Bottom