Ronaldo
Ni Ronaldo mimi ni mimi kwahiyo kisa Ronaldo hajaoa na wengine tusioe? Zuckerberg na Ronaldo Nani tajiri? Ila Zuckerberg mbona ameoa? Warren buffet na Ronaldo nani tajiri? Mbona buffet ameoa? Steve job mpaka anafariki alikuwa ana mke! Acha kupangia maisha kila mtu ana choice yake kwenye maisha hatujaja dunia kuigana hapa kila ashinde mechi zakeNani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.