Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wakaingia mitini!! Tuliwatia moyo Chadema mwanzoni... tuliwaambia hii mikutano ya hao mafisi isingefika mbali... CCM haina watu wenye akili tena wakujenga hoja.... wamejawa na vijana wapenda starehe na zinaa tu!Mziki wa kisiasa unaopigwa sasa na CHADEMA ni mzito na mnene sana. CCM wakiongozwa na Chongolo, Kinana na Mjema mwanzoni walitaka kujaribu kupimana ubavu na huo mziki wa CHADEMA, sasa kisanga cha aibu kilichowapata huko mtaani, ikabidi wapoteane na kusepa kimya kimya.
Yaani hawataki hata kusikiaMziki wa kisiasa unaopigwa sasa na CHADEMA ni mzito na mnene sana. CCM wakiongozwa na Chongolo, Kinana na Mjema mwanzoni walitaka kujaribu kupimana ubavu na huo mziki wa CHADEMA, sasa kisanga cha aibu kilichowapata huko mtaani, ikabidi wapoteane na kusepa kimya kimya.
Kinachonifurahisha kwenye mikutano ya Chadema ni hoja zao , madini matupu !Wakaingia mitini!! Tuliwatia moyo Chadema mwanzoni... tuliwaambia hii mikutano ya hao mafisi isingefika mbali... CCM haina watu wenye akili tena wakujenga hoja.... wamejawa na vijana wapenda starehe na zinaa tu!
Kinana nae kama gari ya mkaa tu tripu moja shamba ikirudi inafikia gereji kama Magufuli wao tu 2020!
Huyo mama na pumu yake sidhani 2025 kama ataweza hutubia hata mikutano miwili ya kampeni kwa siku!
Mh anapumu kwani mama abdu?Wakaingia mitini!! Tuliwatia moyo Chadema mwanzoni... tuliwaambia hii mikutano ya hao mafisi isingefika mbali... CCM haina watu wenye akili tena wakujenga hoja.... wamejawa na vijana wapenda starehe na zinaa tu!
Kinana nae kama gari ya mkaa tu tripu moja shamba ikirudi inafikia gereji kama Magufuli wao tu 2020!
Huyo mama na pumu yake sidhani 2025 kama ataweza hutubia hata mikutano miwili ya kampeni kwa siku!
CCM kwa kutumiwa Dola wamezuia vyombo vya habari kama TV, redio na magazeti visiandike habari za upinzani huku wakisahau mitandao ya kijamii kuwa inapeleka ujumbe.Kinachonifurahisha kwenye mikutano ya Chadema ni hoja zao , madini matupu !
CCM kwa kutumiwa Dola wamezuia vyombo vya habari kama TV, redio na magazeti visiandike habari za upinzani huku wakisahau mitandao ya kijamii kuwa inapeleka ujumbe.
Umepotea jukwaa ?Ule mpunga mliopewa mmchafue JPM shujaa mtaurejesha maana project imeshia njiani na pesa mshagawana
Hapana nauliza tu project yenu ya kumchafua JPM imeshia wapi?Umepotea jukwaa ?
Mbona Mungu alimaliza mchezo kitambo !Hapana nauliza tu project yenu ya kumchafua JPM imeshia wapi?
Na Katiba mpya , pamoja na dhiki inayokabili nchiKila siku kwenye hiyo mikutano ni mkataba wa bandari, mkataba wa bandari, mkataba wa bandari....huo mkataba ukifutwa inaonekana mtachukia sana sababu mtakosa ajenda
Mlungula mligawana mtaurudisha?Mbona Mungu alimaliza mchezo kitambo !
nenda kwa mpuuz mwenzako magufuli ukazikwe naye.Mlungula mligawana mtaurudisha?
Chongolo nilikua namwona kama chizi fulani akiwa jukwaani anaongea hakika walipoteana yule mwenezi ndio zero brain kabisaMziki wa kisiasa unaopigwa sasa na CHADEMA ni mzito na mnene sana. CCM wakiongozwa na Chongolo, Kinana na Mjema mwanzoni walitaka kujaribu kupimana ubavu na huo mziki wa CHADEMA, sasa kisanga cha aibu kilichowapata huko mtaani, ikabidi wapoteane na kusepa kimya kimya.
Vipi umeusoma mkataba??Kila siku kwenye hiyo mikutano ni mkataba wa bandari, mkataba wa bandari, mkataba wa bandari....huo mkataba ukifutwa inaonekana mtachukia sana sababu mtakosa ajenda