Rorya: Tundu Lissu aingia Shirati, asambaza Oparesheni 255, Wananchi wasikitishwa na Mkataba wa Bandari

Chadema kweli wameamua.
Si kawaida

Vyama vingine havijulikani viko wapi, vinaonekana wakati wa uchaguzi tu
 
Mziki wa kisiasa unaopigwa sasa na CHADEMA ni mzito na mnene sana. CCM wakiongozwa na Chongolo, Kinana na Mjema mwanzoni walitaka kujaribu kupimana ubavu na huo mziki wa CHADEMA, sasa kisanga cha aibu kilichowapata huko mtaani, ikabidi wapoteane na kusepa kimya kimya.
Nilishangaa eti ccm nao wakaanza kuitana, mara eti mwanza kuna mkutano...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui waliishia wapi?
 
Yamebaki mambo mawili kama si matatu!
1. Wananchi wanataka mabadiliko
2. Upinzani usipoleta mabadiliko
3. Wanajeshi watayaleta kwa mbinu za medani!
 
Mziki wa kisiasa unaopigwa sasa na CHADEMA ni mzito na mnene sana. CCM wakiongozwa na Chongolo, Kinana na Mjema mwanzoni walitaka kujaribu kupimana ubavu na huo mziki wa CHADEMA, sasa kisanga cha aibu kilichowapata huko mtaani, ikabidi wapoteane na kusepa kimya kimya.
Wachov u vs Great Men
 
Back
Top Bottom