Rorya: Tundu Lissu aingia Shirati, asambaza Oparesheni 255, Wananchi wasikitishwa na Mkataba wa Bandari

Chadema kweli wameamua.
Si kawaida

Vyama vingine havijulikani viko wapi, vinaonekana wakati wa uchaguzi tu
 
Nilishangaa eti ccm nao wakaanza kuitana, mara eti mwanza kuna mkutano...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui waliishia wapi?
 
Yamebaki mambo mawili kama si matatu!
1. Wananchi wanataka mabadiliko
2. Upinzani usipoleta mabadiliko
3. Wanajeshi watayaleta kwa mbinu za medani!
 
Wachov u vs Great Men
 
Chadema hawajawahi kupoa.

Akina Kinana pumzi imekata😆😆
Kila siku kwenye hiyo mikutano ni mkataba wa bandari, mkataba wa bandari, mkataba wa bandari....huo mkataba ukifutwa inaonekana mtachukia sana sababu mtakosa ajenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…