Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

Ss hizo 7 za (slay qeen) utaniambia baada ya muda ngapi zitadumu....
 
Sikiliza nyimbo zake utagundua anaimba masimango matupu
zingatia maokoto ulitaka aimbe nini ili apige hela?
jifanye unaimba vitu serious uone kama wabongo wanataka vitu hizo
hujiulizi why CCM ni chama chakavu ila still kinaendelea kutuburuza?
kupanga ni kuchagua!
 
Rose mikono yake aliungua?
Any way hongera kwake...wanawake siku hizi menopose si habari ya kushtua wanaume...ilimradi mahali papo....
 
Kama atafanikiwa kuolewa na ndoa ikapita salama basi hii itakuwa ndoa yake ya kwanza kwa mwanamama huyo mwenye watoto watatu ambao amezaa na wanaume tofauti.
Nadhani huu ujumbe ndio ulitaka kuufikisha mkuu 😀
 
Kaolewa zari mwenye watoto 5, na benteni, a.k.a alimuita FALA, mahari msaafu tu,hongera zake mhando.
Mange kimambi na mdomo wake kaolewa ndoa ya pili. Dida shaibu ndoa ya 5 au ya 6.
Mariam Biriani kavishwa pete juzi.

Halafu wadada wanalalmika kukosa waume, siwaelewi kabisa.
 
Huyu kijana anafaa sana kuwa mgambo wa Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…