TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

Nenda msibani sasa.
 
Polen wafiwa, pole Mama Maria.

Anasherehekea birthday yake ya miaka 90 kwa huzuni kubwa sana
 
mtu akifa ukitaja hospital huwa inasaidia nini hasa?
 
Alikuwa member humu na alikuwa anaandika vitu havieleweki, Mimi nafahamu John Yule wa England ndiye RIP
Huyo mdau aliyecomment, alitaja wawili nazani huyo john na Andrew, hii thread imeshaingiliwa tayari naona kuna kitu kinafichwa.
 
Kuna thread nyingine humu pia imemtaja JOHN NYERERE kuwa amefariki dunia Muhimbili na kuwa kaka yake Madaraka Nyerere amethibitisha kifo hicho. Ndio kusema watoto wawili wa Mwl. Nyerere wamefariki wakati mmoja au ni misinformation mahali?
Angalia hiyo ni ya mwaka gani?
 
Pole sana mkuu,
Kuna binadamu wachache wanaletwaga duniani kutuvusha pale tusipoweza na wao hufanya kama Rose. Apumzike kwa amani
 
Daa kumbe ndio ww ulikuja siku ile? Halafu una kumbukumbu!
 
Wabongo hua mna matatizo sana kichwani,hakuna anayejali kweni wewe ni mwana familia na hauoni ndugu wote wanajali msiba? Hapa unataka kuja na nyimbo za kulaumu serikali,ifanyeje sasa? Kweni wamesha zika?

Katibiwe Milembe wewe

Hivi huko kijijini kwao na baba yao naye alijenga uwanja wa ndege ili tujue kweli kama naye alikuwa mzalendo?
 
Kwa muonekano wa picha inaonekana kabla hata ya kuumwa alikuwa anaumwa.
R.i.p rozi.

Ataacha kuumwa aisee, hata ww kama baba yako angekuwa rais kwa miaka 24, bila kujenga uwanja wa ndege kijijini kwenu usingeumwa?
 
mtu akifa ukitaja hospital huwa inasaidia nini hasa?
Huwa ni utaratibu kuonyesha mtu kapata matibabu wapi hadi umauti umempata, ikiwa ni sehemu ya historia ya ugonjwa wa marehemu, kuliko kusema mtu kaugua muda mrefu na usitaje wapi alikua anauguzwa. Na kama kuna list ya hospitals zilizohusika katika matibabu huwa zinatajwa ikiwa ni moja ya kushukuru huduma za kitabibu alizozipata marehemu kabla ya kifo. Ukihudhuria misiba au mazishi hivyo ni vitu vya kawaida kutajwa.
 
Hiyo MZENA hospital ina madactari bingwa kweli?
Mzena aliwahi kuwa mkurugenzi wa TISS, ni miongoni mwa wakurugenzi wa mwanzo kabisa kama siyo wa kwanza baada ya uhuru. Nadhani hii hospital ilipewa jina lake kumuenzi huyu mzee. Kuhusu madaktari bingwa utajiongeza hapo mwenyewe baada ya sasa kuijua hiyo hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…