Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kwa nini awe rose na sio incharge?sikubaliani na maamuzi ya jamaa kumrekodi na kusambaza mtandaoni ila Rose amepata alichostahili
kuleta zengwe kwenye uhai wa mwanadamu mwezio!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini awe rose na sio incharge?sikubaliani na maamuzi ya jamaa kumrekodi na kusambaza mtandaoni ila Rose amepata alichostahili
kuleta zengwe kwenye uhai wa mwanadamu mwezio!!
Tuanzie hapa kwanza... Rose ni nani kwenye ile zahanati mpaka kutoa amri vipimo vilivyo expire vitumike kwa wajawazito?Hapa kuna utata.
Ila Kwa mujibu wa mada, kosa la Rose lipo wapi?
Wewe ndio huelewi kabisa taratibu kazini tena huna weledi wowote nafikiri. Au umefunzwa na wakufunzi wababaishaji. Huwezi toa lugha kama hizo za rose shirima ofisini eti ikubaliwe kama ni sawa.Mtu ukimuambia Jambo kama haelewi wewe unafanyaje?
Hapo Rose alikuwa anamjibu mfanyakazi mwenzake kulingana na Muktadha wa mazungumzo Yao.
Huyo James Getogo alichokuwa anatafuta ni Shari tuu. Na kaipata. Na ndivyo inavyotakiwa.
Wewe ndio huelewi kabisa taratibu kazini tena huna weledi wowote nafikiri. Au umefunzwa na wakufunzi wababaishaji. Huwezi toa lugha kama hizo za rose shirima ofisini eti ikubaliwe kama ni sawa.
Huyu jamaa(ROBERT HERIEL) thread zake nyingi anaandika kinyume na uhalisia ili kupata umaarufu hapa JF.Wewe ndio huelewi kabisa taratibu kazini tena huna weledi wowote nafikiri. Au umefunzwa na wakufunzi wababaishaji. Huwezi toa lugha kama hizo za rose shirima ofisini eti ikubaliwe kama ni sawa.
Hapo mimi siangalii nani anakosa hayo watayajua wenyewe... Kikubwa nimejua mwenendo mzima wa hospitali zetu zinavyofanya mambo yake... Na huo usiri unaosema wewe ukizingatiwa ndio mambo hayo hushika hatakmu zaidi...
Na kwakugundulika jambo hili ambalo mtaalamu huyo amevujisha kwa sababu anazo zijua yeye...
Najua wakubwa huko watajitafakari na kuanza kuchukua hatua stakihiki kuliko kungeendelea kuwapo huo usiri unao usema...
Mimi sijui kama hospitali hiyo ni ya serikali au private... Japo kwa hisia zangu nahisi 70℅ hiyo ni hospital ya government... Bwana maskini Tunalindwa na Mungu Wallah.
Huyu jamaa(ROBERT HERIEL) thread zake nyingi anaandika kinyume na uhalisia ili kupata umaarufu hapa JF.
Anajitahidi kuandika ukweli kwa baadhi ya thread... Lakini nyingi anapinga uhalisia kwa makusudi ili alete mjadala mkubwa target yake ni umaarufu usio na tija.
ROBERT HERIEL
Kwanini majibizano kati yao wawili? By any chance mmojawapo anafanya kinyume au hatimizi majukumu yake...Kwa uelewa wako majibizano katika maofisi yapo au hayapo?
Ninyi ndio mnataka mkifanya upuuzi mjibiwe Kwa upoleupole.
Watakaojibiwa Kwa upole ni wateja tuu, tena Wateja wenye nidhamu, lakini wateja/wagonjwa wasio na nidhamu watajibiwa vikali vile wanavyojionyesha na kujieleza.
Kwanini majibizano kati yao wawili? By any chance mmojawapo anafanya kinyume au hatimizi majukumu yake...
Ungeandika hivi ungeonekana wa maana na unaipenda nchi yako.Kwa mujibu wa hiyo video Nani hatimizi wajibu wake?
Aliyesababisha majibizano ni James Getogo, Kwanza yeye ndiye kamfuata mwenzake,
Pili licha ya mwenzake kumuambia kuwa Aende Kwa incharge lakini bado anang'ang'aniza majibizano, Wakati ishu ilikuwa ndogo Mno.
Kama vifaa vime-expire Rose keshamuambia asitumie. Sasa tatizo ni lipi?
Makosa ya James
1. James kachafua hicho kituo cha afya
2. James kaichafua serikali.
3. James kafanya kosa kumrekodi mwenzake pasipo idhini yake.
4. James kapost na kusambaza mtandaoni au kawatumia wenzake video ya MTU mwingine akilenga kumchafua, Jambo ambalo ni kosa kisheria.
5. James hajafuata maadili ya Kazi katika kushughulika na majibu mabaya aliyojibiwa na Rose.
Makosa ya Rose
1. Kutoa maneno ya shombo na kashfa Kwa mfanyakazi mwenzake.
Hoja zake anaandika kwa ajili ya kupinga uhalisia... Kwa kutumia point za kufikrika.Mbona sijaona kuandika hata kosa moja la rose Ina maana Yuko sawa... ukiangalia vizuri hio video sekunde mwanzoni James anasema dawa zime expire situmii lakini huyo rose anamjbu " mbona unakihelehele , unataka uwe mfanyakazi Bora"
Sasa wewe mkuu unataka kusema haujaona tatizo la rose hapa kweli?
Taasisi za serikali ni mali za umma. Na umma ni sisi wananchi. Je hutaki kujua yanayoendelea kwenye taasisi unayomiliki?Unaweza ibua Makosa ya familia yako? Badala ya kutafuta namna ya kuyatatua?
Hivi Mkeo akiibua Makosa yako Mbele ya umma ni halali Kwa muono wako?
Au wewe unakampuni na ndio boss alafu mfanyakazi mmoja anaibua Mbele za umma Makosa ya kampuni yako ni Sawa?
Hapo angefanya MTU wa nje ingekuwa Sawa Kabisa.
Sio kama nakataa Watu wasifichue Makosa au maovu, lakini waangalie nafasi zao na majukumu yao
RacistShirima NTU wa dili?
Kaangalie tena video bila kuifoward James hapo anaktaa kutumia kifaa kilicho expire huyo rose unayemtetea anamjbu jamaa aache kiherere tena kamuuliza "unataka ufanyakazi Bora au" yaani kufuata utaratibu ni kiherere kwa mjubu wa roseKwa mujibu wa hiyo video Nani hatimizi wajibu wake?
Aliyesababisha majibizano ni James Getogo, Kwanza yeye ndiye kamfuata mwenzake,
Pili licha ya mwenzake kumuambia kuwa Aende Kwa incharge lakini bado anang'ang'aniza majibizano, Wakati ishu ilikuwa ndogo Mno.
Kama vifaa vime-expire Rose keshamuambia asitumie. Sasa tatizo ni lipi?
Kama kufichua uovu wa serikali au taasisi ni kuichafua basi inanifanya nikushangae kwa ulichokiandika ,Makosa ya James
1. James kachafua hicho kituo cha afya
2. James kaichafua serikali.
Hauitaji ruhusa mtu kufichua uovuJames kafanya kosa kumrekodi mwenzake pasipo idhini yake.