Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

Wamekula sana bata za per diem
Bata gani hao walikuwa wanaishia Chattle tu.
Wanakaa huko Miezi miwili wanaaanza tena kurudi Dar njia nzima wanakula Mahindi ya kuchoma!
Bata wnakula hawa wa sasa. Kila wiki wanakwea pipa.
Sijui wamebakisha kutembelea bara gani...
 
Mbona kichwa cha habari na maelezo tofauti.
Ukweli rostam karudisha channel ten na magic fm alivyokua kajimilikisha kihuni. Mdogo wake hajaachiwa kahukumiwa kifungo au kulipa shs milioni 259. Kalipa faini milioni 259.
Sasa hivi sheria pia ina option mtu kunegotiate na dpp kisha makubaliano kupelekwa mahakamani kuidhinishwa.
Huyu ndugu ya rostam kahukumiwa sasa unaleta uzi kama vile kuna hila au maelewano haram kati ya rostam azziz na magufuli.
Wenye kumchukia jpm mtapata shida sana. Hamuwezi kumchafua badala yake mtachafuka wenyewe.
 
CCM inawezekana wana hisa hata ndani ya Vunjabei
Mtindo huu umeshamiri kwenye uwekezaji karibu wote nchini; swali kama ni effective kwanini usirasimishwe? Hapa ndipo wengi wetu tuna question weledi wa TIS kwenye mambo ya uchumi wa nchi.

Why do you criminalize people simply because wanatafuta njia za kufanikisha biashara zao? Hiyo mitaji unfortunately kutokana na ku operate kwenye black markets inakufa kila mara na nchi inaambulia hasara, huku ikikoleza rushwa na nepotism ili watu waweze kuendeleza hii black market...Why cant we learn?

Yote haya kwasababu ya kushindwa kukubali baadhi ya mambo ambayo ni ukweli kwamba wanasiasa na viongozi wengi wanawekeza humo informally na wengi wanarushwa wakishaondoka kwenye power?! Kisha njia zao za kupata hiyo mitaji waliyowekeza ni through ujanjaujanja wa kutumia sheria kujiwekea malipo kwa shughuli za umma na rushwa kubwa kubwa...
 
Kama TIS ingeliangalia hili kwa jicho la tatu then;
1. Wangerasimisha baadhi ya mambo
2. Wangeondoa sheria zote zinazosababisha watu kupata mianya ya kupiga pesa za umma
3. Wangeweka transparency kwenye njia zote sahihi kwa kila raia kwakufuata jinsi hiyo hiyo katika kuwekeza mitaji na kuweka wazi majina ya wawekezaji wote na hisa zao ama wakiwa public au private
4. Wangeboresha miundo ya boards za public na private badala ya members kuwa wateuliwa basi watokane na wawekezaji wenyewe kwenye hizo crafted corporates ambazo ni informal na formal etc etc
 
Guys, humabeings are rational....Niambieni mwanasiasa mmoja ambaye ana assets zake sehemu fulani kisha anakula maisha hata baada ya kuondoka kwenye mfumo?
Wengi wanaishia kuwa miserable, kwakua hiyo miradi au uwekezaji unategemea zaidi public service badala ya kujiendesha yenyewe...Matokeo ni hasara kwa nchi na watu wote...

Hii ina dumaza uchumi, inapunguza kasi ya expansion ya economy na kuzuia ajira kuongezeka, mwisho wa siku kila mtu anabakia kuwa poor akisulubishwa na relative poverty pale anapochomoka kwa bahati nzuri au mbaya kwenye hii kadhia iliyotufunga sote kuhusu maendeleo
 
😭😭😭
 
Ame mawazo yako kuhusu kuishi kinadharia kijamaa huku tunautaka ubepari, ukiyaweka kwenye ukurasa mmoja itakuwa yana tija zaidi.

Tanzania kuna mahusiano makubwa sana kati ya kuwa mwanasiasa na kuwa tajiri au kuwa tajiri unayelindwa na mwanasiasa kufanya siasa zako. Jambo ambalo si sahihi!!
 
Tuna usiri usiri usio na tija kwa Taifa
 
Tuna usiri usiri usio na tija kwa Taifa
Usiri unatokana na watu kutaka kutumia siasa kama ngazi ya kupatia mafaninikio.Mtu maskini kabisa, lakini akipata tu nafasi ya kisiasa anatajirika ghafla!!
 
Angalia muda aliokamatwa na hukumu kutoka,haikuzidi miezi miwili.
Kwa kweli makosa yake yalikuwa mazito sana sana,kwa familia yao faini ya milioni mia mbili ni sawa na kuachiwa huru tu,maana inatumwa kwa Mpesa na mmoja wa wanafamilia ndani ya dk kumi
 
Usiri unatokana na watu kutaka kutumia siasa kama ngazi ya kupatia mafaninikio.Mtu maskini kabisa, lakini akipata tu nafasi ya kisiasa anatajirika ghafla!!
Na akitumbuliwa tu anapauka ndani ya mwaka mmoja
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…