Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bata gani hao walikuwa wanaishia Chattle tu.Wamekula sana bata za per diem
Mbona kichwa cha habari na maelezo tofauti.2017
Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally
Kakurwa.
Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group.
Wamiliki wa Chanel 10 na magic Fm
Rostam anapigwa mkwara anakomaa.
2018
Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape kufanya kampeni mwaka 2015 inakamatwa na kurudishwa ofisi za CCM, Nape alishajimilikisha gari hilo utadhani CCM ni mali yake.
October 31 DSM
Mdogo wake Rosta Aziz aitwae Akram anakamatwa maenep ya Oyterbay na kufunguliwa kesi ya kuhujumu uchumi, kutakatisha pesa, kukamatwa na nyara za serikali, kukamatwa na risasi na bunduki, nyama ya nyati, pembe za ndovu kadhaa,jumla mashtaka 75.
Nov 13, 2018 DSM
Rais Magufuli anakutana na Rosta Aziz Ikulu,nwalichojadili sasa. Anakabidhi Chanel Ten kwa CCM kimya kimya.
Dec 22, 2018 DSM
Mahakama ya hakim mkazi kisutu inamuhukumu Akram Aziz kifungo cha miaka 20 jela au kulioa faini milioni 259.5, pesa inaenda kuchukuliwa fasta na anaachiwa huru.
February 2019 tunatangaziwa kuwa Chanel Ten na Magic FM ni mali ya CCM.
Toka tumeanza kumuimba marehemu mpaka leo lipi limetengemaa?Inarekebisha mbona,,,ni kama farao alivyo wa mfano
Mtindo huu umeshamiri kwenye uwekezaji karibu wote nchini; swali kama ni effective kwanini usirasimishwe? Hapa ndipo wengi wetu tuna question weledi wa TIS kwenye mambo ya uchumi wa nchi.CCM inawezekana wana hisa hata ndani ya Vunjabei
Lowasa alizitoa wapi hizo hisa?Lowassa alishauza hisa zake kitambo kwa Rostam hiyo 2018
Miaka yote hiyo ya utumishi wa umma ashindwe kuwa na mtaji ambao ameukuza through side investiments? Tatizo ni siasa yetu ya ujamaa usiozingatia uhalisia wa kujitegemea kuwa criminalize watu hata ambao ni enterprisingLowasa alizitoa wapi hizo hisa?
😭😭😭Nikikumbuka Hilo tukio Kuna mama mmoja Alikuwa Ghorofani na ilikatazwa mtu yoyote kukaa Gorofani mama wa watu bila kujua akanyoshewa SMG.
Baada ya sekunde mama alishindwa hata kulala chini baadala yake Aliishia kujikojolea ghafla.
Masikini yule mama Hadi Leo namkumbuka.
Siku ya makabidhiano lilimwagwa jeshi pale zaidi ya wanajeshi askali usala 500.
Sikuwahi waza hivi...Then most of us had one side stories masikini....God forgive my soul...Tunaongea kusudi hasije mwingine akafanya ushenzi kama ule
Katiba ikiondoa tu u Mungu mtu yote yana sawazika!Ajaye asiharibu!
Katiba MPYA IANDIKWE!
Mama kahofu. Yeye na genge la wahuni wanaomshauri walitaka kugeuza kila jema alofayna kua baya.Toka tumeanza kumuimba marehemu mpaka leo lipi limetengemaa?
Hebu tuambie katiba inaondoaje umungu?Katiba ikiondoa tu u Mungu mtu yote yana sawazika!
Tuna usiri usiri usio na tija kwa TaifaAme mawazo yako kuhusu kuishi kinadharia kijamaa huku tunautaka ubepari, ukiyaweka kwenye ukurasa mmoja itakuwa yana tija zaidi.
Tanzania kuna mahusiano makubwa sana kati ya kuwa mwanasiasa na kuwa tajiri au kuwa tajiri unayelindwa na mwanasiasa kufanya siasa zako. Jambo ambalo si sahihi!!
Usiri unatokana na watu kutaka kutumia siasa kama ngazi ya kupatia mafaninikio.Mtu maskini kabisa, lakini akipata tu nafasi ya kisiasa anatajirika ghafla!!Tuna usiri usiri usio na tija kwa Taifa
Angalia muda aliokamatwa na hukumu kutoka,haikuzidi miezi miwili.Mbona kichwa cha habari na maelezo tofauti.
Ukweli rostam karudisha channel ten na magic fm alivyokua kajimilikisha kihuni. Mdogo wake hajaachiwa kahukumiwa kifungo au kulipa shs milioni 259. Kalipa faini milioni 259.
Sasa hivi sheria pia ina option mtu kunegotiate na dpp kisha makubaliano kupelekwa mahakamani kuidhinishwa.
Huyu ndugu ya rostam kahukumiwa sasa unaleta uzi kama vile kuna hila au maelewano haram kati ya rostam azziz na magufuli.
Wenye kumchukia jpm mtapata shida sana. Hamuwezi kumchafua badala yake mtachafuka wenyewe.