Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

Mama kahofu. Yeye na genge la wahuni wanaomshauri walitaka kugeuza kila jema alofayna kua baya.
Hawajafaulu. Magufuli japo hayupo kimwili anazidi kuishi ndani ya myoyo ya mamilioni ya watanzania hadi wahuni wameogopa wote.
Ukitaka kuwa mwema usijilinganishe na fulani, we tenda yale ambayo ni mema, fanya mungu ametuamrisha tufanye, utakuwa mwema,
Sio kujilinganisha, ama kutenda kwa kuangalia fulani, huwezi kuwa mwema.
Marehemu alikuwa mchawi, kumbe we mzinifu, wote si wema.
 
Hii inazidi kudhihirisha namna ccm inavyopenda, kuendekeza na kukumbatia rushwa na haiwezi kuacha!
 
Kwa Tanzania case study ya kiongozi bora ni mwalimu Nyerere,ukifanya kinyume chake wewe umepotoka
 
Kuna ushahidi wa kimazingira usiotia shaka kwamba utajiri wa wanasiasa wengi unatokana na ufujaji wa mali za umma na rushwa kupitia vyeo vya kisiasa walivyonavyo.
Kabisa mkuu usiwaone wanatupigia magoti kipindi cha kampeni ikafikiri ni wajinga,wanajua ulaji uliopo huko
 
Hata mimi nakumbuka kulikua na vifaru na ndege vita pia.

Wanajeshi walikuwa elfu 70.
 
Mambo ya kuokoteza tu haya mkuu.

Uzuri ni kwamba hapa wanaandika.kwa kufurahishana tu ila uhalisia huko ground mambo ni tofauti kabisa.
 
Sasa hiyo rushwa ilimnufaisha magufuli kwa lipi kuna pesa ya chanel 10 aliwapa watoto wake?

Ilinufaisha chama chake ambacho yeye ni mwenyekiti.
Chama kikinufaika na yeye ananufaika
Yeye akinufaika familia imenufaika
 
Mambo ya kuokoteza tu haya mkuu.

Uzuri ni kwamba hapa wanaandika.kwa kufurahishana tu ila uhalisia huko ground mambo ni tofauti kabisa.
Lete uhalisia mkuu mimi fundi gereji niko hapa mwembeyanga
 
Unaujua ulinzi wa Rais wa Marekani lakini au unaongea tu!

Naanza kupata shida hata kuhusu hii mada yako

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Walinzi wa Rais wa Marekani ni invisible, visible ni wachache sana,na huwezi kukuta yule aide mwenye combat yuko nyuma ya Rais wa USA ,,analindwa na tecnolojia zaidi,sasa huku maaskari visible wenye silaha za kivita kama tuko vitani ni ushamba sana
 
Aliyegawia hawara nyumba za serikali kwa sasa ni kioo cha jamii
 
Usiri unatokana na watu kutaka kutumia siasa kama ngazi ya kupatia mafaninikio.Mtu maskini kabisa, lakini akipata tu nafasi ya kisiasa anatajirika ghafla!!
Anaonekana katajirika kama tu bado yupo kwenye siasa na nafasi za uongozi. Akitoka tu kuacha wale wanaopewa huduma maisha yao yote, mara ghfla miradi yote inasinyaa kama vile konokono aliyewekewa chumvi...Then it means hakuna biashara za kweli, nyingi ni za udalali na utakatishaji wa pesa...Lakini kuna somo hapo, kwamba bila serikali kuwa na stake hakuna biashara itasimama sasa kwanini tuishi maisha ya kufikirika na tusi rasimishe tu na kuweka transparency ili kila mtu afaidike na mfumo huo?
 
Walinzi wa Rais wa Marekani ni invisible, visible ni wachache sana,na huwezi kukuta yule aide mwenye combat yuko nyuma ya Rais wa USA ,,analindwa na tecnolojia zaidi,sasa huku maaskari visible wenye silaha za kivita kama tuko vitani ni ushamba sana
Hapa umeongea kama huna akili timamu

Unazungumzia ulinzi mkali ama visible na invisible?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…