Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna ushahidi wa kimazingira usiotia shaka kwamba utajiri wa wanasiasa wengi unatokana na ufujaji wa mali za umma na rushwa kupitia vyeo vya kisiasa walivyonavyo.Na akitumbuliwa tu anapauka ndani ya mwaka mmoja