Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

Na nyie waleteeni figisu tu

Ova
 
Ni kitu Cha kijinga sana. Wanasahau wa_Kenya wenyewe ndio watafaidika kwa kupata ajira na malipo mengine ya kikodi Bila kusahau unafiki kwenye Bei.
Ndio tukubali wanasiasa wa afrika wana matatizo sana. Yaani viongozi wanakataa FDI yenye kuleta ushindani wa bei sokoni, investment inayoweka infrustructure, inatoa ajira, kuna local fees, VAT, PAYE, Corporate tax na political mileage.

Soko lenyewe bado lina potential kubwa 75% ya wananchi bado awajafikiwa. Sasa hapo competition si ndio inaleta faida zaidi. Kuna hatua zingine za ovyo za majirani zetu we don’t have to reciprocate ni kuwaacha na ujinga wao. Waje tu wajenge kwetu tunahitaji FDI za uzalishaji wa ndani, tusichotaka ni imported finished goods.

Only in Africa
 
hakuna tatizo tuna mtaalamu wa diplomasia na mwanauchumi bora wataongea yataisha mana kuna mmoja aliifunga nchi akaifanya kama kisiwa kwakua yeye alikua ha-----zo
Wakenya ni sikio la kufa, mwaka Jana walishasainiana mkataba na mama Samia kuhusu biashara Ila bado wanaleta figisu. Ni Kama hawataki tu, kwakuwa sio mara ya kwanza kuzuia biashara za rostam, hata wakati wa JK waifanya hivyo
 
Twende nao kidiplomasia msiwavuruge kama bwana yule nchi itatengwa. Sasa hivi nchi imefunguka.
Aisee, nilikuwa nakukubali Sana! Tanzania 🇹🇿 itatengwa na Kenya kwa lipi? Yaani mkenya akija Tanzania 🇹🇿 kuwekeza hakuna figisu,Ila Sisi tukienda kwao figisu kibao eti tusitengwe? Kenya inatusaidia nni cha maana Hadi watutenge?
 
Aisee, nilikuwa nakukubali Sana! Tanzania [emoji1241] itatengwa na Kenya kwa lipi? Yaani mkenya akija Tanzania [emoji1241] kuwekeza hakuna figisu,Ila Sisi tukienda kwao figisu kibao eti tusitengwe? Kenya inatusaidia nni cha maana Hadi watutenge?
Soma between the lines, usikaze fuvu, legeza mwili huo ubongo ufunguke
 
Ni kweli unaamini waTz wanapenda kutumia kuni na sio sababu za kiuchumi kushindwa kutumia gesi?
Kuna tofauti kiuchumi na uwezo wa kununua, Kenya has the biggest middle class population in East and central Africa, so si ajabu wao kukua na bigger population ya watumizi wa gesi..,
 
Wakenya wakija kwenu na nyie wabananisheni...mpaka nao watie akili....

Ova
 
Ungekuwa unanielewa ungejua im just being sarcastic.
 
Haya manyangau wakati wa propaganda ya Korona , walikuwa wanapewa pesa za bure na wazungu kwa sababu ya kufunika midoma na mavitambaa a.k.a BARAKOA na kujipaka chang'aa mikononi a.k.a SANITIZER ili kumfurahisha mzungu wakawa hawalimi,na kutusema vibaya sisi🇹🇿 Tuliokataa huo ujinga.

Sasa Korona imekata, ndio yanatoka ndani yalikojifungia, kulima hayajalima, misaada imekatika yanalia njaaa

Ndio haya haya wakati yanapata ration ya bure ya unga wa korona yalisema mahindi ya bongo na Uganda yanasumu. Sasa hivi wanahangaika na njaa, huku bongo wapo vijijini wanatimuliwa kwa kulangua mazao

Nakumbuka kikao kimoja cha wafanyabiashara kilifanyika Nairobi Rostam Ki Azazi aliwachana live mbele ya uhuru kuhusu figisu alizopata katika kuomba kibali cha kuwauzia gesi

Hàwa ni majirani wa ajabu sana, ndio maana wagombea wameweka kwenye kampeni kipengele cha kuruhusu Bhangi, hawa ndio wanatusumbua na madawa ya kulevya aina ya Mirungi wao wanaita miraa, kwetu tumezuia yenyewe yanalima
 
Safi sana wameshakomba chakula chetu. Kuna watu walikuwa wanamwona Magufuli mjinga kumbe alikuwa anajua namna ya kudeal nao
 
Mimi namwomba mama yetu, nadhani ana isikia kwa sababu ni mpole mnyenyekevu na msikivu kuliko yule anayegombea unaibu kwenye nchi moja huko Afghanistan, mwenye sura ngumu na kavu na macho kama anavuta ile majani inaitwa Wajakoya

Mama yetu mwema🙏🇹🇿 Tunaomba uharakishe treni ya kwenda RWANDA, BURUNDI na DRC halafu baadaye pale bandarini ufanye maamuzi magumu na ya kihistoria ya kuifanya bandari ya Dar es salaam kuwa FREE PORT Kama dubai, yale makodi yooote ya mkoloni aliyeweka pale futilia mbali, ndani ya miaka 3 Tanzania itaizidi marekani uchumi tuyaache hayo manyangau yanayosubiri unga wa super market yakijipendekeza kwa mzungu
 
Na Tanzania tungechukua retaliatory measures za kublock strategic investments zao hapa TZ JPM alikuwa anamudu sana vita vya aina hii
 
Magufuli hakuwahi kuwachekea mkamwita mshamba!

Ngojeni wawatie madole sasa, si mnafungua nchi nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…