Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

Hawa Wakenya Jiwe ndiyo alikuwa kiboko yao,Sasa uyu Mama anacheka na Manyang'au.Hawa dawa yao wakiweka Ugoko tunaweka gongo na wakiweka ubao tunaweka chuma.Kwanza mpaka sasa ilitakiwa misosi yote izuiwe maana njaa imewagonga sana mwaka huu.
 
Umeandika ushauri mzuri sana, dawa ya Hawa watu ni kuteka soko la Uganda, Rwanda, Burundi, congo, Sudan kusini. Hapa tutakua tumewaweza, Wana fitna sana
 
Mkenya ukifanya nanye biashara usimcheke...
Ila nashangaa humu mada badala nchi watu kuwa wa moja naona wengine kama wanaishabikia kenya

Ova
Hili jukwaa Kuna wakenya wengi pia, usishangae
 
Kazi kuu ya serikali kupitia usalama wa taifa na taasisi nyingine ni kuhakikisha usalama na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja na taifa kwa ujumla kiuchumi.
Hii ni pamoja na kuwawezesha kupambana kwa kutoa mbinu za kuyadhibiti mataifa mengine na watu wao kimya kimya kuanzia ndani ya nchi hadi huko kwao.
Hali hii hujengwa kwenye fikra za viongozi, watendaji na hata wananchi (huu ndiyo unaoitwa uzalendo wa kweli).
Hata hivyo, kuna tatizo kubwa la kuona uzalendo ni kudhibiti wananchi matajiri, wapinzani na maneno ya kisiasa yanayoambatana na haya.
Ni muhimu kuungana kuanzia mwananchi mmoja mmoja, sekta binafsi na serikali katika mapambano ya kiuchumi, kila mmoja kwenye nafasi yake.
Hiki ndicho wanachofanya majirani na nchi zote zenye maendeleo.
 
Kuna tofauti kiuchumi na uwezo wa kununua, Kenya has the biggest middle class population in East and central Africa, so si ajabu wao kukua na bigger population ya watumizi wa gesi..,
Actually huo ndio muono wangu hata Mimi tofauti na Mdau niliyem_quote anayeona Kama vile waTz hawataki kutumia gesi.
 
Ajabu kweli! Eti Kenya atutenge sisi! Halafu makorokoro yake akauze wapi!?
 
Hii situation siyo nzuri ata kidogo ujinga wa watanzania ni ukarimu uliopita kiasi mbongo yupo tayari ampe connection mgeni kuliko mtanzania mwenzake mambo ya ajabu kabisa aya
Mbongo mchawi kabisa. Mzungu akifika hotelini wanamsanua kabisa kuwa huko mitaani kwetu machinga tunauza vitu kwa Bei kubwa tukiona wazungu/wageni wasioongea kiswahili.
 
Wapo sahihi, kila nchi ina haki ya kulinda interests zake at any cost, nyinyi kama taifa lenu la Tanzania limeamua ku demka demka na kuruhusu kila aina ya biashara ije nchini , imekula kwenu.

Wakati Magufuli anachoma vifaranga vya kutoka Kenya mlimuona mkorofi acha sasa mnyooshwe vizuri.
 
Mzilankende Mnyago Alikuwa Hawatazami Usoni Anaamua Tu
 
Magufuli hakuwahi kuwachekea mkamwita mshamba!

Ngojeni wawatie madole sasa, si mnafungua nchi nyie?
Alikuwa mshamba na mkurupukaji..

Mimi napenda retaliation lakini kwa kutumia akili sio complete ban,kwa mfano Serikali iliongeza kibali cha kuvusha mahindi karibu mara mbili ya thamani ya awali na kinatokewa na Wizara Dodoma pekee na ikapelekea Bei zao huko kuwa juu mara dufu..

So hata hili wala haihitaji kukurupuka kwa sababu in fact biashara ya Kenya na Tanzania kwa sasa inaegemea upande wetu kuliko kwao so ni afadhari ku deal nao kwa akili Ili tusiumize uchumi kuliko kukurupuka eti Kwa Maslahi ya mtu mmja bw.Rostam.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-153552.png
    165.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220704-115146.png
    116 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220704-115226.png
    43.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220704-115457.png
    44 KB · Views: 7
Sisi ndio washindi katika hili. RA has exposed their real colours. Wakikutana na rungu kutoka Tanzania, wasilie lie! Na hata wale watetezi wao humu nchini nao watajua wataambia nini watu.
 
Japo its true Wakenya kwenye figisu wako vizuri, lakini vitu vingine kwenye hizi biashara za kimataifa tatizo ni sisi.
Kuna kitu kinaitwa rules of origin, baadhi ya bidhaa zina zero tariff, lakini lazima ziwe na certificate of orgin kuonyesha ni 100% Tanzanian, unga wa ngano wa tajiri wetu, ngano yake yote ni 100% imported, yeye ana saga tuu na ku pack, huku imeandikwa product of Tanzania. Wenzetu wana kitu wanafanya kinaitwa economic intelligence, wamebaini ngano ni impoterted, zile juice, pulp ni imported!, hawawezi kukubali bidhaa kama hizo ziingie kwa zero tariff!. Hiyo mnayosikia zimezuiliwa, sio kweli kuwa zimekataliwa, bali zimetozwa tozo ya juu kama imported products kutokana na rules of orgin ya malighafi.
Lets be honest and stop baby cry!.
P
 
January Makamba mbona anauza sana hiyo gas ya Rostam! Achana na soko la nje "king maker'
 
kwa ufafanuzi huu mjadala umefungwa rasmi! Asante sana Pascal Mayalla
 
Ukifika Arusha unaeza tafuta maziwa ya Tanzania ukakosa brand zilizojaa ni za kenya tu.
 
Wewe huwajui hawa jamaaa, Kuna hadi Kampuni za simu zinalia, Jamaa wan Cartel kari sana lipo kuja swala la masilahi yao, wale wanaweza changishana hata Billion of shillings ba kwenda kuwahonga watendaji wa Serikali,

Wakenya kwenye swala la Ushindani wako tiyari wakuue kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…