Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Huyu anataka kufukua mambo halafu badae asuse. Amesahau dr. Silaa ana faili la orodha ya mafisadi..akae atunze heshima yake iliyopotea enzi za JK mpaka akasusa siasa.

Nani asiyejua ni yeye ndio alikuwa mfadhili namba moja wa Lowasa kule chadema?

Na ukiona mpaka inafikia hatua hii ya kumshambulia mtu moja kwa moja ujue kweli hili jambo la bandari lina nia ovu.
 
ni bora mara 100 hiyo Bandari akapewa Rostam kuiendesha kuliko watu hao DiPi World
 
Inamuuma sababu alimsaliti best yake Lowassa, Rostam alitaka kumkaba Dr Slaa ndani ya vyumba vya bunge akiwa na Lowassa wakimshinikiza aachane na habari za Richmond na Meremeta.
 
anahamisha goli, issue ni bandari tunataka tandari
 
Asante Rostam Kwa kumnyoosha huyo padri mkengeufu
 
Mzee Mwanakijiji idawa MTAZAMO njooni mjibu hoja za Rostam kuhusu kilichotokea mwaka 2015 nyuma ya pazia.

Kuhusu mahakama zetu kukosa Uhuru na hata kuaminika yupo sahihi, rejea kesi ya Mbowe kila kitu kinajieleza.

JokaKuu zitto junior Nguruvi3 Kalamu
 
Acha ubaguzi wa rangi leta hoja kitokana na alio sema, katiba ya nchi aina popote anapo sema kama mtanzania atakua na ngozi nyeusi.
 

Basi tuuze mahakama na CCm kwa DP world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…