Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

Huyo si ndiyo Wakala wa matapeli wa kimataifa wanaojiita wawekezaji,ata hiyo DPW Kuna mkono wale lazima.Na mind you huyu jamaa ni Wakala wa CIA East and Central Africa.
Umeichukua Kampuni ya Tigo,ghafla Bei za vifurushi zikaanza kwenda juu!
 
rostam ni fisadi papa apuuuzwe hana hoja yoyote ya msingi ya kusikilizwa

anaposema mtu anazungumzia uTanganyika na uzanzibar kwani si ndio kilichotokea?anadhani watu wanaongea kutokea wapi au alitaka wawe wanafiki wasiliseme hilo wakati ndio uhalisia wenyewe?

we rostam veepee
 
Unaelewa maana ya ubunifu?.Kuna nchi zina sera ya boma ya afya toka miaka ya hatujapata uhuru.sasa miaka hiyo mkapa alikua rais wawapi ili rostam awe mbunifu?
 
Huyo ni shetani tu... Gabacholi tangu lini likawq na maslahi kwa Tanganyika? Hilo fisadi likae kimya bado tunaikumbuka MEREMETA, EPA, RICHMOND, KAGODA etc...

Rostam ni shetani.
Shetani aliyewafanya leo Serikali mnatumia Bima ya Afya kutokana na ubinifu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…