Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo si ndiyo Wakala wa matapeli wa kimataifa wanaojiita wawekezaji,ata hiyo DPW Kuna mkono wale lazima.Na mind you huyu jamaa ni Wakala wa CIA East and Central Africa.Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Huyo kwao ni Iran!Mnyamwezi wa Igunga Tabora
Ndiyo mbunifu alieifanya serikali kuanzisha mfumo wa Bima ya Afya
Mwaka 1995 akiwa mbunge wa Igunga alianzisha mfumo wa Bima ya Afya, mkapa aka copy kwake na kuuingiza serikalini.
Wewe mzalendo umefanya nini kwa Tanzania?
Kwa mujibu wa nani?Huyo kwao ni Iran!
mbona mbowe na lisu watoto wao ni raia wa marekani ila wanawahamasisha watanzania waandamaneHuyu ni kabila gani? Hana uraia nchi nyingine?. Haya ndo maswali ya wazalendo ajiandae kama anataka kuyajibu.
Hilo lingewezekana kama wangemuacha nape aandae huo mkutanoKwenye huo mkutano wangemweka msanii DIAMOND PLATNUMZ yaani yule rais wa wasafi.
atoe hoja zake yakinifu huku akiwa amevaa vyeni na ice kwa meno. 😀😀😀😀
Unaelewa maana ya ubunifu?.Kuna nchi zina sera ya boma ya afya toka miaka ya hatujapata uhuru.sasa miaka hiyo mkapa alikua rais wawapi ili rostam awe mbunifu?Mnyamwezi wa Igunga Tabora
Ndiyo mbunifu alieifanya serikali kuanzisha mfumo wa Bima ya Afya
Mwaka 1995 akiwa mbunge wa Igunga alianzisha mfumo wa Bima ya Afya, mkapa aka copy kwake na kuuingiza serikalini.
Wewe mzalendo umefanya nini kwa Tanzania?
Yule siyo dalali mkubwa akishikiriana na RostamMsoga mijadala mizito inayohusu taifa haiwezi; ila lingekuwa kongamano la wasanii mapema Sana angekuwa siti ya mbele
Tafuta kitabu cha Mkapa kisome kilaza wewe!!Unaelewa maana ya ubunifu?.Kuna nchi zina sera ya boma ya afya toka miaka ya hatujapata uhuru.sasa miaka hiyo mkapa alikua rais wawapi ili rostam awe mbunifu?
Kwenda zako huko na ujinga wako. Wewe mke wake?Mnyamwezi wa Igunga Tabora
Ndiyo mbunifu alieifanya serikali kuanzisha mfumo wa Bima ya Afya
Mwaka 1995 akiwa mbunge wa Igunga alianzisha mfumo wa Bima ya Afya, mkapa aka copy kwake na kuuingiza serikalini.
Wewe mzalendo umefanya nini kwa Tanzania?
Huyu ndiyo dalali mkubwa wa ufisadi wote wa nchiAisee huyu Rostam huwa nahisi anatusema vibaya sisi Watz akiwa faragha na mke wake.
Kila penye ujinga anapenyeza neno
Shetani aliyewafanya leo Serikali mnatumia Bima ya Afya kutokana na ubinifu wake?Huyo ni shetani tu... Gabacholi tangu lini likawq na maslahi kwa Tanganyika? Hilo fisadi likae kimya bado tunaikumbuka MEREMETA, EPA, RICHMOND, KAGODA etc...
Rostam ni shetani.