Mmiliki mpya wa tigo za watanzania 😂😂😂😂Rostam Aziz na Kampuni ya Madagascar, Axian Group Ltd ni wamiliki wapya wa @Tigo_TZ baada ya kukamilika biashara ya mauziano na wamiliki wa awali Millicom International Cellular SA (NASDAQ-TIGO) na dili hilo limehusisha US$100M.
Katika taarifa ya Millicom International kwa umma. Hivyo, sasa Rostam anakuwa mwenyekiti wa Kampuni tanzu, MIC Tanzania.
Pia kwa pamoja na Axian Group Ltd wanamiliki kampuni ya Mawasiliano ya simu ya ZANTEL.
Imethibitishwa na CEO wa Millicom, Mauricio Ramos
Sky vipi tena, tunajadili habari ya watu 'kuuziana tigo' wewe unazungumzia katiba? 😂😂😂Katiba Mpya ni Sasa
Sasa kosa la rostam hapa ni lipi mpaka ulalamike kuwa ufanywe chochote?Tushachoka kwanza...
Watufanye vyovyote
Sasa kosa la rostam hapa ni lipi mpaka ulalamike kuwa ufanywe chochote?
Mtu masikini ni hatari sana always think is failure its due to the success of othersSasa kosa la rostam hapa ni lipi mpaka ulalamike kuwa ufanywe chochote?
Matajiri wetu asilia wao wamewekeza kwenye burdan tuTigo aka MIC group, Taifa gas, Primefuel, Caspian ltd, Hisa Mwadui diamond mine, Tancoal mine..... Mzee wa Caspian sea anachanja mbuga tu.....
Wanyonge tukomae tutoboe tuache kulialia....
Elitwege anaomba ndugai na slaa waanzishe chama hahahahaWatanzania wooote kwa sasa wamekuwa wanasiasa, kutwa kucha kupambana na wanasiasa na mategemeo yao kwa 100% wameyaweka kwa wanasiasa....
Tanzania ni nchi iliyojaa fursa saana, tukomae tuache kulilia wanasiasa na kuamini matatizo yetu yanasababishwa na wanasiasa ilihali kuna jirani yako hapa hapa anamiliki 2bil kwenye account huku wewe unashangilia kuitwa mnyonge...
Tusitegemee saaana maendeleo huku Africa yaje leo, chanzo ni mifumo ya muda mrefo inayosababishwa na mambo meeengi ikiwemo athari zilizoachwa na wakoloni, siasa za kisasa za mabeberu, uchanga wa mataifa yetu, nk..
Kupambana na hizo athari kunahitaji kujitoa na vita ipiganwe vizazi na vizazi na sio Urais wa miaka 10 basi umasikini na unyonge uishe..
Matajiri wetu asilia wao wamewekeza kwenye burdan tu
Ova
Unaijua vizuri familia ya Rostam ya Tabora au unaandika tu kiujumla jumla?!Familia ya Rostam kama familia zingine za wenye asili ya Asia zimetajirika zamani hata kabla ya nchi kupata uhuru. Ni wafanya biashara wazuri. Wengi walikimbia Azimio la Arusha walihamia UK, Canada maana Nyerere alitaifisha biashara na mali zao baadaye zikamshinda. Kikwete enzi zile alienda Canada, US, UK kuwaomba warudi kama yule Museveni alivyowaomba WaAsia waliofukuzwa na Idi Amin warudi.
Elitwege anaomba ndugai na slaa waanzishe chama hahahaha
Ova
ah ah ahKama Ni Kwenye Gari Unaambiwa Kaa Sawa Sawa Shikilia Vizuri Safari Imeanza Na Mwendo
Unaijua vizuri familia ya Rostam ya Tabora au unaandika tu kiujumla jumla?!
Vibaya hivyoTushachoka kwanza...
Watufanye vyovyote