Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

Wanasiasa ndiyo wanaamua fursa ziweje na nani apate.
 
Hivi Rostam hakuwahi kuwa na Hisa pale Vodacom kisha akaamua kuziuza?
 
Huyu Muirani ana ma akili ya kukamata fursa. Halafu yeye hana makeke kama ya Mwamedi.
Kila mtu ana hulka yake mama. Maana sisi waswahili tukiwa maskini huwa tunaumia tu na kila anachofanya Tajiri. Mwangalie Elon Musk ... Tajiri Mkubwa DUNIANI. but anapenda sana social media. Haya mambo ni mpaka uwe na uelewa otherwise unaweza jikuta unamchukia tu mtu sababu ya PESA ZAKE NA ALIVYOCHAGUA KUISHI.😁
 
Hawazipatagi kwa uhalali! Wafanya biashara ni wanjajawajanja sana! Watu wenye akili kama Nyerere alishawaona kuwa ni matapeli
 
Nasikia 20% ya manunuzi ya zile ndege tulizonunua jamaa alipiga huo mkwanja kwa msaada wa vibwanyenye flani vya serikalini.
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa.
Kwa vyovyote wewe ni mmojawapo wa uv-ccm kwani ndio wanaunga mkono kila kitu hadi utopolo!
Nani alichelewesha? sometimes unatakiwa upigane sana ukiitwa Uv-ccm
 
Zantel ndio Tigo; Kitambo kampuni mama ilishainunua..., Company mergers has been happening since begging of Time; Hata ulikuwa ukiweka line ya Zantel Bara inasoma mnara kwa Tigo
Sikujua kama Tigo walinunua Zantel. Habari ilieleza kama ni vitu tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…