Rostam Aziz ni mwanahisa mkubwa katika Kampuni iliyotajwa na Tundu Lissu kabla hajakamatwa!

Kwani huyu Mama alitumwa kuja kuuza kila kitu au ilikuwaje kwani? Akija Rais mwingine atapata kazi sana kufukia mashimo atakayoacha aisee, miaka minne utasema miaka 100!! Khaa
Ipo siku atakuja Rais mzalendo atafukua makaburi
 
Kwani huyu Mama alitumwa kuja kuuza kila kitu au ilikuwaje kwani? Akija Rais mwingine atapata kazi sana kufukia mashimo atakayoacha aisee, miaka minne utasema miaka 100!! Khaa
Na kama ulimsikia Rostam kujusu lutokuwa na imani na mahakama za ndani, lazima mkataba waliosainishana ni wa kimataifa, sio wa kusuluhishia Kisutu. Kwa hio kwenye kuuvunja ama kufanyia marekebisho lazima tuumie sisi wenye mali yetu. Nchi imeoza hoo
 
Back
Top Bottom