Rostam Aziz: Ni ngumu kwa Mtanzania kuwekeza Kenya

Rostam Aziz: Ni ngumu kwa Mtanzania kuwekeza Kenya

Sasa mnalia lia nini?Si ni CCM imeshindwa kuifanya Tz itambe mbele ya Kenya kibiashara tangu Uhuru mpk leo?
Ni matokeo ya Siasa za Ujamaa za kijinga ambazo zimetuletea Umasikini wa kutupwa.

Kama Hayati Baba wa Taifa angemsikiliza Hayati Oscar Kambona kuwa tisijiingize kichwa kichwa kwenye Siasa za Mao tse Tung ambazo hata Uchina leo wamezitupilia mbali tusingefika huku.

Mama Samia aendelee na Sera zake za Uwazi na kuifungua TANZANIA ili watu walete mitaji yao na kuwekeza ndani ya Nchi

Mama pia aanzishe mchakato wa Katiba mpya ya Wananchi
 
Muda huo wanapiga hatua nyie mnakua wapi?

Tumezoea kulia lia,kuogopa ogopa

Nyie waKenya hampendi sisi tuendelee.. Ikitokea chance ya sisi kupiga hatua nyinyi huanza figusi figusi...

waKenya hamna urafiki na waTz zaidi ya kuangalia maslahi yenu .. you are not true friends
 
kuuza maji Kenya Mtanzania ataweza ila kufanya la maana, sidhani!

hivi marais wa Tanzania hawajifunzi kwa Mwl. Nyerere na swala zima la E.A.C?

labda viongozi wa sasa hivi wamejipanga vizuri, ngoja tuone!
 
Utashangaa baadhi ya Watz wenzetu wanashabikia eti Rais Uhuru Kenyatta karuhusu wawekezaji kutoka Tz oooh karuhusu Watz kufanya kazi Kenya na mambo kibao.Kama huwajui Wakenya nyamaza, tuongee siye tuliowahi kukaa na kusoma Kenya .Wale watu ni wabaguzi hatari hawafai hawafai

Wachache sana wanalifahamu hili...Ila time will tell..Mungu ni mwema labda wamebadilika mkuu...
 
Bora aisee jpm alitulostisha huyu jamaa alikua asubutu kuongea kabisa nimeanza kuona kifo cha kunguru kimemaliza vita ya panzi
 
Rostam anataka yeye ndio ashikilie Soko sisi Wananchi wa Tanzania tunasema NO
Matajiri wengi wakija kuwekeza kwanza ajira zitapatikana kwa wingi

Halafu mfumuko wa bei utapungua na itakuwa ni WIN WIN kwa sisi walaji
 
Wewe kama ulibaguliwa ni yako hayo. Waache wenzio wapate experiences zao pia. Kukaa na kusoma kwako KE haimaanishi umepita kila kona ya nchi hii.
Na kama hatufai, basi msije! Simple!
 
Rostam anataka yeye ndio ashikilie Soko sisi Wananchi wa Tanzania tunasema NO
Matajiri wengi wakija kuwekeza kwanza ajira zitapatikana kwa wingi

Halafu mfumuko wa bei utapungua na itakuwa ni WIN WIN kwa sisi walaji
Hilo ndiyo tatizo la matajiri wa kibongo
Wanataka wao ndiyo wacontrol pekee yao

Ova
 
Rostam anataka yeye ndio ashikilie Soko sisi Wananchi wa Tanzania tunasema NO
Matajiri wengi wakija kuwekeza kwanza ajira zitapatikana kwa wingi

Halafu mfumuko wa bei utapungua na itakuwa ni WIN WIN kwa sisi walaji
Ewe nyumbu, umeelewa kweli alichosema Rostam?

Au kama kawaida yenu kukurupuka tu
 
Back
Top Bottom