Rostam Aziz: Ni ngumu kwa Mtanzania kuwekeza Kenya

Rostam Aziz: Ni ngumu kwa Mtanzania kuwekeza Kenya

Kama hujui kitu kaa kimya!!yule jamaa achana naye, kuna deal lolote liliofanyika nchi hii kipindi cha nyuma bila kumhusisha yeye?mbona meko alipoingia madarakani hukuona hata kukamatwa tu?yule mdogo wake alipokamatwa na nyara za serikali pamoja na mabunduki ya kuwindia akapewa kesi ya uhujumu uchumi , baada ya jamaa kuja kuonana na meko, kesi ikaishia pale pale, na tenda kubwa kubwa zote za serikali hadi sasa ndio anazo jamaa!!
Ujuaji mwiingi hujui hata kusoma 'btn the lines'.
 
watu wanashindwa kuelewa wafanya biashara wakubwa kenya ni wanasiasa, hivyo basi akitokea mfanya biashara anataka kuuza bidhaa inayofana na mwanasiasa hapewi kibali. mfano VP wa kenya ndio anauza mahindi kenya, kenyatta mwenyewe anasibdika maziwa
Biashara ya Gas ni Odinga&the family.
 
Hahah huyo rostam mwenyewe alikimbia nchi,Co. Yake ya Caspian inajua cha moto ilichokipata.

Jiwe sio wa mchezo mchezo.
Na pale vodacom akauza hisa zake zotee akatimka [emoji23] [emoji23]
 
Mama anakumbatia sana Kenya , ki ukweli hao ni mabeberu wa East Africa wanataka kupiga hatua kupitia mgongo wetu...
[emoji23] [emoji23] Yaani ukisikia mtu anakimbilia kulaumu mabeberu jua kapigika kila kona na hana jipya hapa duniani. Hata mtaani kwako ukianza kumchukia jirani yako na kumpa majina ya ajabu ajabu, kisa kafanikiwa kimaisha jua mji umekushinda rudi shambani huko ukalime au uwe kibarua.

Jitu lina akili zake linashindwa kupambana na mbinu mbalimbali za maendeleo na ustawi wa wananchi wake linaishia kuita washindani wake mabeberu, pumbavu sanaaaaa...
 
Huyu mama anakurupuka sana kwa hawa wakenya ajiulize hata kwa kina mzee wa msoga

Acha tuone
Mama hata hajakurupuka,kama umemsikiliza uhuru alikua na maoption kibao, utalii, aviation, ajira, biashara n.k, but Mama kwenye hotuba zake zote kakomaa kwenye biashara, hata alipoongelea bomba la gesi kakwepesha kimtindo, angejichanganya pale kusema wakenya na wenyewe waje kufanya TZ bila permit work kesho tu ungeona wakenya watakavyokimbilia huku,mama alikua cool sana kwenye ziara yake
 
Samia akicheka na nyani atavuna mabua.

Samia asipende sifa za kijinga kutoka kwa watu hasa wapinzani...
Acha kupotosha tatizo una elimu ndogo sana juu ya masuala ya gesi unajifanya mjuaji.

Bomba la gesi lifika 100% ina maana imefikia maximum capacity, kumbuka gesi inayosafirishwa ndio hyo inayotumika Kinyerezi kufua umeme. Ikija kuchimbwa ile ya offshore yenye futi za ujazo zaidi trillion 50 obviously hta volume inayosafirishwa itaongezeka.

Alafu bomba la gesi na udalali wa mikopo unaingiaje? TPDC kudaiwa ni halali maana uwekezaji unaofanywa ni matrilion unadhani serikali ingeweza ku fund yote? Wanafanya utafiti wa mafuta pamoja na kuchimba visima huko mnazi bay kwa kutumia wataalam wa ndani unadhani funds watatoa wapi? We unaangalia deni sio investment iliyofanyika?

Masuala ya kitaalam tuachie wataalam
 
Naona sisi ni watoto na wao ni watu wazima kibiashara. Tujitahi kuchapa msosi ili tufike utu uzima kibiashara.
 
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
 
Tulikuwa wapi mpaka wakachukuwa nafasi hizo nyingi za uwekezaji? Ndio maana nasema sisi ni watoto kibiashara. Mpaka kampuni za ulinzi tulishindwa! Eti na degree yangu nitakuwaje mlinzi ! Wao na master's zao wakachukuwa.
 
[emoji23] [emoji23] Yaani ukisikia mtu anakimbilia kulaumu mabeberu jua kapigika kila kona na hana jipya hapa duniani. Hata mtaani kwako ukianza kumchukia jirani yako na kumpa majina ya ajabu ajabu, kisa kafanikiwa kimaisha jua mji umekushinda rudi shambani huko ukalime au uwe kibarua.

Jitu lina akili zake linashindwa kupambana na mbinu mbalimbali za maendeleo na ustawi wa wananchi wake linaishia kuita washindani wake mabeberu, pumbavu sanaaaaa...

We uliyefanikiwa umezalisha ajira ngapi? Nyie wakenya mna roho mbaya sana kwa TZ hampendi tuendelee..
 
Tulikuwa wapi mpaka wakachukuwa nafasi hizo nyingi za uwekezaji? Ndio maana nasema sisi ni watoto kibiashara. Mpaka kampuni za ulinzi tulishindwa! Eti na degree yangu nitakuwaje mlinzi ! Wao na master's zao wakachukuwa.
Wewe ulikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom