Rostam Aziz: Ni ngumu kwa Mtanzania kuwekeza Kenya

Kitu cha kwanza mkenya anamuona mtz hana utashi wanadharau sana wale jamaa..wakenya wanatukubali watz kwenye mziki tu..
 
Kitu cha kwanza mkenya anamuona mtz hana utashi wanadharau sana wale jamaa..wakenya wanatukubali watz kwenye mziki tu..
Hahaha pamoja na ujuaji wao lakini wamejenga SGR ya hovyo sana
 
Mimi nilizubaa, nilifikiria ulinzi ni ambao hawakusoma, hata hivyo nina kadiploma kalikochoka .
 
Tayari mbowe amedemka
 
Historia inaonesha Tanzania na Kenya ndizo inchi zenye nguvu Afrika Mashariki.

Vilevile hizi nchi zinautani na ushindani by nature. Yaani hii hata Marais na Wanasiasa mtalambana midomo bado ila bado tutarudi kule kule.

Kenya hawezi Kurusu Mtanzania kuongoza kampuni kubwa nchini Kenya. Yaani hata Rostam Azizi akiende kuwekeza leo itabidi Meneja wa hiyo Kampuni awe mkenya ili mambo yaende vizuri.

Mama umeanza vizuri lakini tegemea mfadhaiko na kukatishwa tamaa na Wakenya.

Kenya wameshafikia hatua ya kuitwa mabepari wakati sasa bado tuko kwenye ujamaa. Yaani sisi tunasubiri serikali ifanye ili nasi tupate.

Nakuasa usijivunie sana maneno ya Uhuru Kenyatta maana akikosa tu anachokitafuta ataanza chokochoko.

NATURE YA RAIA WA HIZI NCHI MBILI NDIO MUAFAKA WA UTENGAMANO.
 
Sure mkuu hao siyo watu nina reference yao nzuri tu wakati naishi pale nyayo estate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…